Toka Singida: Dr. Kitila Mkumbo apandishwa mahakamani rasmi...

Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?. Dr huyu nakumbuka wakati akinifundisha nikiwa pale Udsm miaka miwili iliyopita niliamni kabisa ana sifa ya uchambuzi wa siasa na sio kuhusika moja kwa moja katika siasa kama alivyojikuta anafanya. CDM wameamua kumtumia ili kukuza profile yao Iramba - CCM nao kwa kuwa ustaarabu wake Dr wakaamua kumchezesha kwata la kumchomekea katika kuhusika na fujo kule Ndago. Tokea sakata hili litokee, Dr wa watu hajatamka neno, yamkini inawezekana anajuta kimoyo kwamba "yamkini ningejua...... nisingefanya hivi". Kwa sasa hata majukumu yake ya Udean aliyoyapata juzi juzi UDSM hawezi kuyatekeleza ipasavyo kwa sababu ya kesi uchwara inayomkabili huku Singida. Leo tena nitafika mahakamani ili nikaone atakavyokuwa mpole, mnyonge, msikivu, mtulivu na mwenye kila hali ya kuonewa huruma mbele ya hakimu ambaye ana shahada moja tu ya sheria ilihali yeye akiwa ni Daktari wa Falsafa. Hakika Dr wangu umeingia mkenge, tena mkenge kama anaouingia mwenzako Zitto Kabwe katika kashfa ya kupokea rushwa katika kupitia Kamati ya Nishati Madini.

hata nelson mandela alipokuwa akiwapinga makaburu aliambiwa maneno ya kuvunja moyo, kwamba atajutia.

siasa za majitaka.
 
Potea!

Kesi zenyewe hizi u.s.hu.z.i mtupu!

Dr hawezi kuogopa! mwisho wa kesi utasikia kafungwa miezi saba.... au faini ya shilingi laki 500,000/=

Jeuri ya kumfunga hawana... ndiyo tz haitatawalika kabisaaaa!!!!
 
Mtoa hoja naomba niseme kama yule mwenyekiti wa Bunge alivyomwambia Mbunge wa Ubungo...Unawashwa?
 
Kama ni mpiganaji wa kweli lazima adharauliwe, apuzwe, ateswe kabla ya kushinda, mwachie apite njia sahihi hakuna namna mbadala
 
Umezoea vitu virahisi rahisi heee.
Unashangaaa Dr kuanza mapambano!

Najua ukienda mahakamani utarudi na kusema amelia mahakamani.

Mapambano si lele mama.
 
Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?. Dr huyu nakumbuka wakati akinifundisha nikiwa pale Udsm miaka miwili iliyopita niliamni kabisa ana sifa ya uchambuzi wa siasa na sio kuhusika moja kwa moja katika siasa kama alivyojikuta anafanya. CDM wameamua kumtumia ili kukuza profile yao Iramba - CCM nao kwa kuwa ustaarabu wake Dr wakaamua kumchezesha kwata la kumchomekea katika kuhusika na fujo kule Ndago. Tokea sakata hili litokee, Dr wa watu hajatamka neno, yamkini inawezekana anajuta kimoyo kwamba "yamkini ningejua...... nisingefanya hivi". Kwa sasa hata majukumu yake ya Udean aliyoyapata juzi juzi UDSM hawezi kuyatekeleza ipasavyo kwa sababu ya kesi uchwara inayomkabili huku Singida. Leo tena nitafika mahakamani ili nikaone atakavyokuwa mpole, mnyonge, msikivu, mtulivu na mwenye kila hali ya kuonewa huruma mbele ya hakimu ambaye ana shahada moja tu ya sheria ilihali yeye akiwa ni Daktari wa Falsafa. Hakika Dr wangu umeingia mkenge, tena mkenge kama anaouingia mwenzako Zitto Kabwe katika kashfa ya kupokea rushwa katika kupitia Kamati ya Nishati Madini.

Hana shida na huruma yako mnafiki mkubwa wewe,kaone huruma wenzako wenye matope kichwani badala ya ubongo km wewe
 
Pole Mdwenkey..... dah........ cdhani kma ww ni by product wa Dr. Mkumbo ila huenda ulikua kiti kwenye vipindi vyke.
 
ukiwa msemaji wa mtu si unaandika jina lako na saini na muhuri kwenye,press release,lakini kwa manufaa ya jukwaa hili tuambie ni lin na ni nani alikupa jukumu la kuwa msemaji wa dr Mkumbo?
 
Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?. Dr huyu nakumbuka wakati akinifundisha nikiwa pale Udsm miaka miwili iliyopita niliamni kabisa ana sifa ya uchambuzi wa siasa na sio kuhusika moja kwa moja katika siasa kama alivyojikuta anafanya. CDM wameamua kumtumia ili kukuza profile yao Iramba - CCM nao kwa kuwa ustaarabu wake Dr wakaamua kumchezesha kwata la kumchomekea katika kuhusika na fujo kule Ndago. Tokea sakata hili litokee, Dr wa watu hajatamka neno, yamkini inawezekana anajuta kimoyo kwamba "yamkini ningejua...... nisingefanya hivi". Kwa sasa hata majukumu yake ya Udean aliyoyapata juzi juzi UDSM hawezi kuyatekeleza ipasavyo kwa sababu ya kesi uchwara inayomkabili huku Singida. Leo tena nitafika mahakamani ili nikaone atakavyokuwa mpole, mnyonge, msikivu, mtulivu na mwenye kila hali ya kuonewa huruma mbele ya hakimu ambaye ana shahada moja tu ya sheria ilihali yeye akiwa ni Daktari wa Falsafa. Hakika Dr wangu umeingia mkenge, tena mkenge kama anaouingia mwenzako Zitto Kabwe katika kashfa ya kupokea rushwa katika kupitia Kamati ya Nishati Madini.

Dr Mkumbo CDM wanamtumia km toilet paper then watamuacha, nashangaa Dr mzima na taaluma yake amekwenda kudanganywa na wakina Mbowe ambao ni darasa la 7, na wamemtumia pasipo yeye kujua
 
Sawa mkuu tumekupata,
Lakini mbona hata akina Mandela na Nyerere nao walitinga mahakamani mara nyingi enzi zao na wakafanikiwa?
Tofauti ni rangi za watesaji tu, walikuwa weupe na sasa ni weusi.
 
Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?.
Kabla haujapata jibu la swali hilo unalojiuliza ni vema ukatafuta majibu ya hoja nyingine; kwanza, nini maana ya matusi na pili, kwa kuwa kilichopo ni tuhuma tru, jiulize kweli Kitila alitukana? Unaweza kupata jibu la swali hili la pili kwa kutafuta rekodi zinazoonyesha Kitila alisema nini siku ile pale jukwaani
 
Dr Kitila Mkumbo ni mtu makini na mwenye weledi ni mwalimu wa mdogo inashangaza msomi kama huyu kwenda kuiga siasa za matusi na kejeli kama Lema na Mnyika mbaya zaidi Chadema wamempadisha jukwaani nyumbani kwao Singinda atoe matusi...Dr Kitila Mkumbo jiulize mbona kwenye mikutano Arusha hawakupi nafasi ya kupanda jukwaani kutoa matusi.
 
Mtu mmoja akiingia siasa kupitia CCM ameingia kwa akili yake,
mtu mwingine akiingia siasa kupitia CHADEMA wanamtumia,
Kigezo cha kutumiwa hapa ni nini?

kam Dr Kitila anaweza kutumika kirahisi vile,
Sasa wewe na mimi na vidigirii vya kuunga je?
Si watatuzika msituni Mabwepande tukiwa hai na afya zetu?

Dr Mkumbo CDM wanamtumia km toilet paper then watamuacha, nashangaa Dr mzima na taaluma yake amekwenda kudanganywa na wakina Mbowe ambao ni darasa la 7, na wamemtumia pasipo yeye kujua
 
Tokea nimemwona akiwa mahakama ya hakimu mkazi hapa Singida majuma mawili yaliyopita nimekuwa nikijiuliza sana nini hasa kilichomfanya Dr huyu na maarifa makubwa aliyonayo hadi kuingizwa katika siasa za kimabavu na matusi za CDM na CCM?. Dr huyu nakumbuka wakati akinifundisha nikiwa pale Udsm miaka miwili iliyopita niliamni kabisa ana sifa ya uchambuzi wa siasa na sio kuhusika moja kwa moja katika siasa kama alivyojikuta anafanya. CDM wameamua kumtumia ili kukuza profile yao Iramba - CCM nao kwa kuwa ustaarabu wake Dr wakaamua kumchezesha kwata la kumchomekea katika kuhusika na fujo kule Ndago. Tokea sakata hili litokee, Dr wa watu hajatamka neno, yamkini inawezekana anajuta kimoyo kwamba "yamkini ningejua...... nisingefanya hivi". Kwa sasa hata majukumu yake ya Udean aliyoyapata juzi juzi UDSM hawezi kuyatekeleza ipasavyo kwa sababu ya kesi uchwara inayomkabili huku Singida. Leo tena nitafika mahakamani ili nikaone atakavyokuwa mpole, mnyonge, msikivu, mtulivu na mwenye kila hali ya kuonewa huruma mbele ya hakimu ambaye ana shahada moja tu ya sheria ilihali yeye akiwa ni Daktari wa Falsafa. Hakika Dr wangu umeingia mkenge, tena mkenge kama anaouingia mwenzako Zitto Kabwe katika kashfa ya kupokea rushwa katika kupitia Kamati ya Nishati Madini.

Mkeo akijifungua kapime dna ya mtoto, ninauhakika 97% haitalandana na yako bali mwigulu ncheemba.
 
Sawa mkuu tumekupata,
Lakini mbona hata akina Mandela na Nyerere nao walitinga mahakamani mara nyingi enzi zao na wakafanikiwa?
Tofauti ni rangi za watesaji tu, walikuwa weupe na sasa ni weusi.

Mkuu acha kujiliwaza na kujifariji unataka kuniambia hata Mtikila, Mrema, Lipumba, watafanikiwa kuwa marais kwa sababu nao wameishakuwa na kesi nyingi za siasa...siasa zenu za uhuni ndio mnataka kufanya reference na kesi za Mandela wakati anapigania uhuru.
 
Dr Kitila Mkumbo ni mtu makini na mwenye weledi ni mwalimu wa mdogo inashangaza msomi kama huyu kwenda kuiga siasa za matusi na kejeli kama Lema na Mnyika mbaya zaidi Chadema wamempadisha jukwaani nyumbani kwao Singinda atoe matusi...Dr Kitila Mkumbo jiulize mbona kwenye mikutano Arusha hawakupi nafasi ya kupanda jukwaani kutoa matusi.

mwenzio mwigulu kaongeza familia huko igunga japo sio rasmi, atarasmisha baadae, muone kambeba new born kutoka kwa kada.
29deb72c-2a6d-f0ad.jpg
 
Back
Top Bottom