MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,511
- 8,753
Malawi, Kenya na Zambia kuna umasikini mkubwa sana sikatia hilo, ila raia walisha jitambua miaka mingi ilio pita, hakuna boya huko, hii ndo inawapa ugumu watawala wa hizo nchi, Tanzania sasa tuna Ujinga mwingi kuliko umasikini ingawa pia umasikini upo, Sasa kwa meneo masikini Tanzania ukichanganya ujinga na umasikini hii ni mtaji tosha kwa CCM.
Uchahuzi wa Kenya umewastafisha Ubunge jumla ya wabunge 211 kati ya wabunge 416 wa bunge na Seneti, maana yake hapa zaidi ya nusu ya Wabunge hajaweza kutetea viti vyao.
Hii ni % kubwa sana, na heko sana kwa Taifa la Wakenya wanao jitambua, Tanzania Wabunge wanahitaji pesa za Kofia, vitenge na Tshirt ili wajihakikishie kurudi bungeni tena wakati mwingine.
Na hii ni moja ya sababu CCM inaota raia waendelee kuwa masikini na wajinga ili waendelee kutawala, yaani Ujinga plus Umasikini CCM watatawala hadi waseme poo.
Angalia mfano Jimboni kwa Ndugai, kuna umasikini plus ujinga wa kutisha, hii ni advantage kwa kwa Ndugai na CCM kwa ujumla, nenda huko Nzega, nenda Urambo, nenda Shinyanga yote hio, Singida yote hio, hio Tanga yote imejaaa wajinga na masikini hawa ni mtaji mkuu kwa CCM.Hawa ni wa kutafuti Tshirt, kofia na kanga basi, hawa hawahitaji kingine kile, ila mbaya ni kwamba now day hadi mijini, Mijini ndio wamejaaa wajinga zaidi
Nchi kama Zambia au Malawi ina masikini wengi sana ila sio wajinga ni wameelimika sana na ndo maana kuna mabadiliko.
Tanzania kuna Wajinga wengi sana plus masikini, huu muunganiko ni hatari sana huuzaa uzezeta.
Kenya kuna Masikini ila sio Wajinga, ndo maana wanaweza wapeleka nyumbani wabunge wengi hivyo.
Na cha ajabu wajinga nchi hii wanaongezeka kwa kasi sana na cha kusikitisha zaidi walio enda shule ndio wajinga zaidi.