Tofauti yetu na Kenya, Malawi au Zambia sio Umasikini ni levo ya ujinga, sisi tuko juu kwa ujinga

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,736
Malawi, Kenya na Zambia kuna umasikini mkubwa sana sikatia hilo, ila raia walisha jitambua miaka mingi ilio pita, hakuna boya huko, hii ndo inawapa ugumu watawala wa hizo nchi, Tanzania sasa tuna Ujinga mwingi kuliko umasikini ingawa pia umasikini upo, Sasa kwa meneo masikini Tanzania ukichanganya ujinga na umasikini hii ni mtaji tosha kwa CCM.

Uchahuzi wa Kenya umewastafisha Ubunge jumla ya wabunge 211 kati ya wabunge 416 wa bunge na Seneti, maana yake hapa zaidi ya nusu ya Wabunge hajaweza kutetea viti vyao.

Hii ni % kubwa sana, na heko sana kwa Taifa la Wakenya wanao jitambua, Tanzania Wabunge wanahitaji pesa za Kofia, vitenge na Tshirt ili wajihakikishie kurudi bungeni tena wakati mwingine.

Na hii ni moja ya sababu CCM inaota raia waendelee kuwa masikini na wajinga ili waendelee kutawala, yaani Ujinga plus Umasikini CCM watatawala hadi waseme poo.

Angalia mfano Jimboni kwa Ndugai, kuna umasikini plus ujinga wa kutisha, hii ni advantage kwa kwa Ndugai na CCM kwa ujumla, nenda huko Nzega, nenda Urambo, nenda Shinyanga yote hio, Singida yote hio, hio Tanga yote imejaaa wajinga na masikini hawa ni mtaji mkuu kwa CCM.Hawa ni wa kutafuti Tshirt, kofia na kanga basi, hawa hawahitaji kingine kile, ila mbaya ni kwamba now day hadi mijini, Mijini ndio wamejaaa wajinga zaidi

Nchi kama Zambia au Malawi ina masikini wengi sana ila sio wajinga ni wameelimika sana na ndo maana kuna mabadiliko.

Tanzania kuna Wajinga wengi sana plus masikini, huu muunganiko ni hatari sana huuzaa uzezeta.

Kenya kuna Masikini ila sio Wajinga, ndo maana wanaweza wapeleka nyumbani wabunge wengi hivyo.

Na cha ajabu wajinga nchi hii wanaongezeka kwa kasi sana na cha kusikitisha zaidi walio enda shule ndio wajinga zaidi.
 
Mitanganyika at it again with inferiority complex kusifia hata ujinga wa nje. Unafanishaje TZ na Malawi/Zambia kwa lipi hasa? Mwisho utafananisha TZ na Burundi. Kenya kwenyewe uchaguzi wao ni uchafuzi tu ila wabongo mnasifia kila kitu Cha Kenya mnaona Nairobi ni nzuri kuliko London.

Hamia huko it's that simple.
 
Weka hoja ili tuzijadili badala ya kushutumiana.
 
Tanzania ni moja ya nchi zinazoongoza kwa ujinga hasa katika kuamini ushirikina.. zaidi ya asilimia 97 ya raia wa Tanzania wanaamini uchawi upo.

Hii ni kutoka google

Witchcraft in Tanzania

Although both witchcraft and accusing someone of practicing witchcraft are illegal in Tanzania, a Pew Research Center poll conducted in 2010 showed that more than 90% of Christians and Muslims, who make up nearly 97% of the population, believe in witchcraft.

Vibao vya waganga wa kienyeji vipo kila kona
 
Mitanganyika at it again with inferiority complex kusifia hata ujinga wa nje. Unafanishaje TZ na Malawi/Zambia kwa lipi hasa? Mwisho utafananisha TZ na Burundi. Kenya kwenyewe uchaguzi wao ni uchafuzi tu ila wabongo mnasifia kila kitu Cha Kenya mnaona Nairobi ni nzuri kuliko London.

Hamia huko it's that simple.
Utafiti wangu ni kama nimeufanyia kwako, safi sana
 
Malawi, Kenya na Zambia kuna umasikini mkubwa sana sikatia hilo, ila raia walisha jitambua miaka mingi ilio pita, hakuna boya huko, hii ndo inawapa ugumu watawala wa hizo nchi, Tanzania sasa tuna Ujinga mwingi kuliko umasikini ingawa pia umasikini upo, Sasa kwa meneo masikini Tanzania ukichanganya ujinga na umasikini hii ni mtaji tosha kwa CCM.

Uchahuzi wa Kenya umewastafisha Ubunge jumla ya wabunge 211 kati ya wabunge 416 wa bunge na Seneti, maana yake hapa zaidi ya nusu ya Wabunge hajaweza kutetea viti vyao.

Hii ni % kubwa sana, na heko sana kwa Taifa la Wakenya wanao jitambua, Tanzania Wabunge wanahitaji pesa za Kofia, vitenge na Tshirt ili wajihakikishie kurudi bungeni tena wakati mwingine.

Na hii ni moja ya sababu CCM inaota raia waendelee kuwa masikini na wajinga ili waendelee kutawala, yaani Ujinga plus Umasikini CCM watatawala hadi waseme poo.

Angalia mfano Jimboni kwa Ndugai, kuna umasikini plus ujinga wa kutisha, hii ni advantage kwa kwa Ndugai na CCM kwa ujumla, nenda huko Nzega, nenda Urambo, nenda Shinyanga yote hio, Singida yote hio, hio Tanga yote imejaaa wajinga na masikini hawa ni mtaji mkuu kwa CCM.Hawa ni wa kutafuti Tshirt, kofia na kanga basi, hawa hawahitaji kingine kile, ila mbaya ni kwamba now day hadi mijini, Mijini ndio wamejaaa wajinga zaidi

Nchi kama Zambia au Malawi ina masikini wengi sana ila sio wajinga ni wameelimika sana na ndo maana kuna mabadiliko.

Tanzania kuna Wajinga wengi sana plus masikini, huu muunganiko ni hatari sana huuzaa uzezeta.

Kenya kuna Masikini ila sio Wajinga, ndo maana wanaweza wapeleka nyumbani wabunge wengi hivyo.

Na cha ajabu wajinga nchi hii wanaongezeka kwa kasi sana na cha kusikitisha zaidi walio enda shule ndio wajinga zaidi.
Wajinga wa kwanza nchi hii ni watu wa dar es laam..! hao ndio kiini cha mambo yote ya hovyo yanayotokea nchi hii..bora hata makao makuu yameondolewa hapo, hawastahili kabisa!
 
Back
Top Bottom