Tofauti yetu na Kenya, Malawi au Zambia sio Umasikini ni levo ya ujinga, sisi tuko juu kwa ujinga

Mji mchafu, watu wachafu, hawana ustaarabu, wabinafsi, wavivu both kufikiri na kuact..hawaeleweki kitu gani kwao ni muhimu, they r not serious kwa kifupi bora anayeishi kwenye tembe au hata chini ya mti lakini ana dira ya maisha.
Wana hela wewe usafi sio kigezo

Gereji unakuta mtu mchafu balaa lakini ana pesa kuliko mvua suti bosi ofisini
 
Dunia nzima hakuna maskini mwenye akili au hekima

Akili na hekima definition yake ni application ya hizo akili zako au hekima zako zilizoko huko hewani kwenye bichwa lako kulitumia kukuondoa kwenye umaskini kwenye dunia halisia

.Kama hazijafanya hiyo kazi wewe akili au hekima huna bwege tu uwe Kenya,zambia ,Malawi, nk
 
Ndugu zangu wa Hai waliamua kukata minyororo ya kutawaliwa na wapinzani butu.
Bila shaka unakumbuka pale mwenyekiti wa kambi ya upinzani aliporushiwa chupa za maji, kuzomewa na kufurushwa kutoka stejini. Mmabakia nyinyi ambao akili zenu bado zimefungwa kwa ajili ya maslahi ya wajanja wachache 😂😂🤣🤣
 
Attachments

  • images (41).jpeg
    images (41).jpeg
    46.1 KB · Views: 2
Kubwa la majinga una biti 🤣 unatetea mabwana zako mikenya hadi unataka kupigana. Wakenya are proud of their wife 🤣
Wakenya wamekufanya nyuma wakakuacha huku tutakuchapa nyuma na mbele. Ulijipeleka mwenyewe Mombasa umerudi umelegea hutaki wasifiwe. Kama ulikuwa unauza ukapigwa Bure, hata sisi tutakuinamisha Bure nguruwe jike wewe.
 
😂😂🤣🤣 Upinzani huu butu wa wachumia tumbo utufikishe huko?
Endelea kuota mkuu, kukikucha utashtuka tu.
Tusubiri, time will tell. Upinzani huo butu ndio ulimpelekea yule mzee kuiba uchaguzi mazima.
 
Mitanganyika at it again with inferiority complex kusifia hata ujinga wa nje. Unafanishaje TZ na Malawi/Zambia kwa lipi hasa? Mwisho utafananisha TZ na Burundi. Kenya kwenyewe uchaguzi wao ni uchafuzi tu ila wabongo mnasifia kila kitu Cha Kenya mnaona Nairobi ni nzuri kuliko London.

Hamia huko it's that simple.
Km haujalewa na hauna matatizo ya akili basi unatatizo lingine.

Siwez amini km umeshindwa elewa anachomaanisha mleta mada hadi ukaandika unachokijua wewe
 
Hata wewe mjibu swala naona hukujitoa pia kwenye syndrome yetu ile ya kaujinga.

You needed to articulate things as per the context of the writer.

Who shall deliver Tanzania out of kaujinga syndrome ?
 
Tusubiri, time will tell. Upinzani huo butu ndio ulimpelekea yule mzee kuiba uchaguzi mazima.
Angalia mahudhurio ya wapiga kura wa upinzani katika uchaguzi mkuu 😂😂🤣🤣 ulinganishe na wahudhuriaji wa CCM hapo chini afu uone hizo kura ziliibiwaje ibiwaje. Hii ni sawa na Amorapa adai kaibiwa milioni 400 na Diamond. mzee wetu Kikwete alitufungua macho kwa kutuambia "akili ya kuambiwa changanya na zako" mjanja hudanganywa mara 1 tu.

Sasa ww umedanganywa mara ya kwanza 2008 hadi 2015 kuhusu Lowasa, na baadae mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu wadanganyifu wakakuonesha kuwa walikudanganya, afu bado tena unadanganywa kuhusu wizi wa kura, wakati mahudhurio ya wapiga kura umeyaona. Kesho sijui utadanganywaje tena 😂😂

Kijana hii ni karne ya 21 shtuka, usikubali kufanywa daraja kwa manufaa ya wajanja wachache na familia zao.
 
Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    60 KB · Views: 3
  • images (23) (1).jpeg
    images (23) (1).jpeg
    31.4 KB · Views: 3
  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    45.7 KB · Views: 3
  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    72.2 KB · Views: 3
Malawi, Kenya na Zambia kuna umasikini mkubwa sana sikatia hilo, ila raia walisha jitambua miaka mingi ilio pita, hakuna boya huko, hii ndo inawapa ugumu watawala wa hizo nchi, Tanzania sasa tuna Ujinga mwingi kuliko umasikini ingawa pia umasikini upo, Sasa kwa meneo masikini Tanzania ukichanganya ujinga na umasikini hii ni mtaji tosha kwa CCM.

Uchahuzi wa Kenya umewastafisha Ubunge jumla ya wabunge 211 kati ya wabunge 416 wa bunge na Seneti, maana yake hapa zaidi ya nusu ya Wabunge hajaweza kutetea viti vyao.

Hii ni % kubwa sana, na heko sana kwa Taifa la Wakenya wanao jitambua, Tanzania Wabunge wanahitaji pesa za Kofia, vitenge na Tshirt ili wajihakikishie kurudi bungeni tena wakati mwingine.

Na hii ni moja ya sababu CCM inaota raia waendelee kuwa masikini na wajinga ili waendelee kutawala, yaani Ujinga plus Umasikini CCM watatawala hadi waseme poo.

Angalia mfano Jimboni kwa Ndugai, kuna umasikini plus ujinga wa kutisha, hii ni advantage kwa kwa Ndugai na CCM kwa ujumla, nenda huko Nzega, nenda Urambo, nenda Shinyanga yote hio, Singida yote hio, hio Tanga yote imejaaa wajinga na masikini hawa ni mtaji mkuu kwa CCM.Hawa ni wa kutafuti Tshirt, kofia na kanga basi, hawa hawahitaji kingine kile, ila mbaya ni kwamba now day hadi mijini, Mijini ndio wamejaaa wajinga zaidi

Nchi kama Zambia au Malawi ina masikini wengi sana ila sio wajinga ni wameelimika sana na ndo maana kuna mabadiliko.

Tanzania kuna Wajinga wengi sana plus masikini, huu muunganiko ni hatari sana huuzaa uzezeta.

Kenya kuna Masikini ila sio Wajinga, ndo maana wanaweza wapeleka nyumbani wabunge wengi hivyo.

Na cha ajabu wajinga nchi hii wanaongezeka kwa kasi sana na cha kusikitisha zaidi walio enda shule ndio wajinga zaidi.
Akili na elimu ni vitu viwili tofauti.
Akili kwanza, elimu baada yake.
Kuna mtu ambaye hajawahi ingia darasani lakini ana akili na kuna aliyepita vyuo vikuu asiye na akili.
Kulijua hili ni lazima pia uwe na akili.
 
Angalia mahudhurio ya wapiga kura wa upinzani katika uchaguzi mkuu 😂😂🤣🤣 ulinganishe na wahudhuriaji wa CCM hapo chini afu uone hizo kura ziliibiwaje ibiwaje. Hii ni sawa na Amorapa adai kaibiwa milioni 400 na Diamond. mzee wetu Kikwete alitufungua macho kwa kutuambia "akili ya kuambiwa changanya na zako" mjanja hudanganywa mara 1 tu.

Sasa ww umedanganywa mara ya kwanza 2008 hadi 2015 kuhusu Lowasa, na baadae mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu wadanganyifu wakakuonesha kuwa walikudanganya, afu bado tena unadanganywa kuhusu wizi wa kura, wakati mahudhurio ya wapiga kura umeyaona. Kesho sijui utadanganywaje tena 😂😂

Kijana hii ni karne ya 21 shtuka, usikubali kufanywa daraja kwa manufaa ya wajanja wachache na familia zao.
Uchaguzi wa 2019/2020 Magufuli aliuiba.
 
Km haujalewa na hauna matatizo ya akili basi unatatizo lingine.

Siwez amini km umeshindwa elewa anachomaanisha mleta mada hadi ukaandika unachokijua wewe

TZ ni wajinga na wewe ndo kubwa la majinga. Umefurahi sasa?
 
Hata wewe mjibu swala naona hukujitoa pia kwenye syndrome yetu ile ya kaujinga.

You needed to articulate things as per the context of the writer.

Who shall deliver Tanzania out of kaujinga syndrome ?

TZ ni wajinga na wewe ndo kubwa la majinga. Umefurahi sasa?
 
Kunywa bia mchana baada ya kazi gani??kama sio uvivu na ujinga tu
kwani wote tunafanya kazi za aina moja na ya wakati mmoja? kuna watu wanafanya kazi ucku na mapumziko yao yaanaanza asubuhi. wote ni watu wazima na tunajua majukumu yetu kwanini tupangiane muda wa kupumzika na kustarehe?
 
Saa nyingine namini ujinga wa Watanzania unatokana na (pamoja na vitu vingine) wananchi walio wengi kutojua lugha ya kigeni. Katika nchi hizo ulizozitaja zinashirikiana katika jambo moja: raia wake wengi wanafahamu Kiingereza. Wananchi wanaofahamu lugha moja zaidi ya watu walioendelea, huwa na uwezo wa kufananisha mambo na walioendelea, hivyo wakaweza kuiga nk. Tanzania ni wachache sana wanaofahamu lugha moja nyingine ya watu walioendelea. Matokeo yake hawana namna ya kuiga fikra au trends na kupata habari za maendeleo. Ukitazama katika Afrika, labda Tanzania ndiyo ya mwisho katika kile kiitwacho 'start-ups'. Haya ni makampuni yanayoanzishwa kwa kufuata trends za uchumi wa kisasa, kama makampuni ya cripto currency. Ni makampuni ya namna hii ndiyo yanayotazamiwa kutoa ma 'unicorn' kuliko makampuni ya biashara za kawaida. Tanzania haina makampuni ya namna hiyo, wakati Afrika Kusini, Kenya zinatazamiwa kutoa 'unicorn' pengine katika miaka kumi ijayo. Hii yote ni kutokana na lugha, na ubovu wa elimu kwa ujumla.
Nikifikia hivi, siachi kuamini kuwa kudhoofishwa Kiingereza, bali hata kubezwa, katika mfumo wetu wa elimu kulifanywa kwa makusudi.
unicorn= ni star up iliyofikisha dola bilioni moja.
 
Back
Top Bottom