Je, ni vibaya kuona aibu kuzidiwa na Kenya, Zambia na Malawi kwenye demokrasia

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,610
8,753
Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa haki sawa tunaleta siasa.

Nilijiuliza sana bila kupata jibu zuri. Kama kweli viongozi wetu wanapenda maendeleo na demokrasia ni kwanini wanapinga au wanasubiri kulazimishwa kubadili katiba? Kwanini watu wanajiita wazalendo halafu hawataki demokrasia kwa upande mwingine? Uzalendo gani bila haki!!.

Tuombee nchi yetu hasa vijan wetu waamke na kudai demokrasia na sheria nzuri za haki kwa manufaa ya nchi yote na sio chama au vyama. Tuonsokane na hizi aibu mpaka Malawi wametuzidi kwenye demokrasia!!
 
Kitu pekee cha kuonea aibu ni umasikini si demokrasia.

China haioni aibu kuambiwa kuwa haina demokrasia ila ilikuwa inaona aibu ya wao kuwa masikini kabla na baada ya mapinduzi ya wakomunisti licha ya ukubwa wao wa kihistoria.

Nachotaka kusema tusione aibu kutokua na demokrasia ila tuone aibu sisi kuwa masikini kupitiliza hapa duniani.

Kutokuwa na demokrasia sio kitu kibaya sana ila kuwa masikini ni kitu kibaya kupitiliza.

Umasikini ni laana.
 
Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa haki sawa tunaleta siasa.

Nilijiuliza sana bila kupata jibu zuri. Kama kweli viongozi wetu wanapenda maendeleo na demokrasia ni kwanini wanapinga au wanasubiri kulazimishwa kubadili katiba?? Kwanini watu wanajiita wazalendo halafu hawataki demokrasia kwa upande mwingine? Uzalendo gani bila haki!!.

Tuombee nchi yetu hasa vijan wetu waamke na kudai demokrasia na sheria nzuri za haki kwa manufaa ya nchi yote na sio chama au vyama. Tuonsokane na hizi aibu mpaka Malawi wametuzidi kwenye demokrasia!!
Sio vibaya.....dunia siku hizi ina tu rank sawa na Somalia, Sidani, DRC, Rwanda, Uganda na South Sudan na Central Africa Republic

Google any type of ranking utatukuta hapo.
 
Kitu pekee cha kuonea aibu ni umasikini si demokrasia.

China haioni aibu kuambiwa kuwa haina demokrasia ila ilikuwa inaona aibu ya wao kuwa masikini kabla na baada ya mapinduzi ya wakomunisti licha ya ukubwa wao wa kihistoria.

Nachotaka kusema tusionee aibu kutokua na demokrasia tuonee aibu sisi kuwa masikini kupitiliza hapa duniani.

Kutokuwa na demokrasia sio kitu kibaya sana ila kuwa masikini ni kitu kibaya kupitiliza.

Umasikini ni laana.
Tanzania hakuna demokrasia, na Bado Kuna umasikini mkubwa. Hapo sijui unaponea wapi. Yaani hiyo inaitwa mboga moto, ugali moto.
 
Tanzania tunawazidi demokrasia Haiti ambao walipata uhuru miaka 220 iliyopita sisi tuna miaka 62 na tumewazidi demokrasia wao ndio waone aibu
 
Tanzania hakuna demokrasia, na Bado Kuna umasikini mkubwa. Hapo sijui unaponea wapi. Yaani hiyo inaitwa mboga moto, ugali moto.
Ila umasikini ni tatizo zaidi kuliko hata hiyo demokrasia na sidhani kama Watanzania wengi wanateswa na ukosefu wa demokrasia kuliko ukosefu wa maendeleo( umasikini ulio pitiliza ).
 
kuna wakati nikisafiri nje ya Nchi nilificha uraia wangu , walionijua kabla ndio hao hao waliokuwa wanajua natoka Tanzania , wakati wa jiwe ilikuwa aibu sana
 
Kitu pekee cha kuonea aibu ni umasikini si demokrasia.

China haioni aibu kuambiwa kuwa haina demokrasia ila ilikuwa inaona aibu ya wao kuwa masikini kabla na baada ya mapinduzi ya wakomunisti licha ya ukubwa wao wa kihistoria.

Nachotaka kusema tusionee aibu kutokua na demokrasia tuonee aibu sisi kuwa masikini kupitiliza hapa duniani.

Kutokuwa na demokrasia sio kitu kibaya sana ila kuwa masikini ni kitu kibaya kupitiliza.

Umasikini ni laana.
Tulia wewe tulambe asali
Kila mtu apambane na hali yake
 
Tanzania tunawazidi demokrasia Haiti ambao walipata uhuru miaka 220 iliyopita sisi tuna miaka 62 na tumewazidi demokrasia wai ndio waone aibu
Haiti 🇭🇹 kwa Mr Berbecue Mishikaki. ??!
😅😅😅🙏🙏
 
Back
Top Bottom