Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Ndugu wana JF nimeona nianzishe thread hii rasmi kwa ajili ya kutoa rambirambi zetu kwa marehemu wa tukio la maandamano ya Arusha. Ninaomba tusiifanye thread hii kuwa ya kutolea vijembe vya kisiasa ila iwe ni kwa yeyote mwenye kujisikia kusema neno kwa marehemu na wafiwa.
Tunajua marehemu wataagwa kitaifa Januari 12 kwenye viwanja vya NMC Arusha lakini kwa tulio mbali tunaweza kujumika nao kiroho kwa njia hii.
Marehemu watakaoagwa siku hiyo ni;
Ismail Omary (40) wa kijiji cha Laki Tatu kata ya USA River Arusha, na
Denis Michael Ngowi (30) wa Rombo Mkuu mkoani Kilimanjaro.
Naomba kuwasilisha.