Toa Rambirambi yako hapa

Ismail Omary (40) na
Denis Michael Ngowi (30)

Ismail Omary my foot, majina ya waliokufa ninayo na hakuna hata mmoja anayeitwa Ismail Omary. Mmeweka jina la kiarabu ili kuwadanganya wahumini wa dini fulani kwamba wao pia ni wana chadema.
"Old tricks ain't dupe I and I"
 
DENIS and ISMAIL you'll always be remembered as the first truly freedom fighter martyr in Tanganyika.
We'll never Forget You.
We'll engrave your names in our heart as the proof of your love to our country.
Rest in Peace Guys. Amen
 
Wamepanda mbegu, Zitaota nyingi. Hakuna mtu anayeweza kuzima roho ya mabadiliko iliyoibuka Tanzania.

Bado kidogo tu!
 
Ismail Omary (40) na
Denis Michael Ngowi (30) Nafsi zenu zipo mahala pema mutabaki kuwa vinara wa mabadiliko katika nchi yetu nzuri ya Tanganyika,Dunia haijasimama tutaendeleza yale muliyoyaanza,mungu azijaze heri na baraka familia zenu katika kipindi hiki kigumu
 
ISMAIL na DENIS, hampo nasi kwa macho lakini mtaendelea kuishi daima katika mioyo yetu na katika historia ya Tanzania. Mmekufa kwaajili ya wengi kwaajili ya kuutafuta uhuru wa kweli, demokrasia inayoonekana na haki inayotendeka. Leo mmeandika madai ya kutafuta haki na demokrasia kwa damu yenye thamani kuu kupita mamlaka yeyote ya Ulimwengu huu. Kwetu wananchi wa Tanzania tunathamini na kuheshimu uhai wenu na kutambua uhai wenu una thamani kuliko madaraka ya mtu yeyote hapa Duniani. Mamlaka pekee yenye kuondoa uhai wa binadamu yeyote hutoka kwa Mwuumba wetu pekee yake. Walioingilia mamlaka ya Mungu na kuondoa uhai wenu, kwa kuwa Mungu Muumba wetu ni mwenye mamlaka na haki kuliko utawala wowote wenye nguvu, awalipe kadiri ya hekima yake lakini sisi tunaomba awasamehe kwa kuwa hawajui watendalo.

Tunamwomba Muumba wetu awape uvumilivu na ustahimilivu ndugu wote wa Marehemu, Amina.
 
My brothers,mmekufa kifo chema,kifo cha kutetea mabadiliko,kifo cha kutetea haki!!!Daima mtakumbukwa na wapenda maendeleo wote Tanzania.Tuko pamoja nanyi Kiroho.

MUNGU waalaze mahali pema pemoni....
 
CCM.... u can kill people but u can never kill the revolution spirit which is in the hearts of tanzanians! those brothers are freedom fighters, they ll alwayz be remembered and tresured! may ur heart rest in evalasting peace...... ameeen....!
 
RIP Wanamapinduzi... Damu yenu haikumwagika bure. Very soon itaokoa taifa hili katika udhalili wa mafisadi na wang'ang'ania madaraka wa nchi hii..VERY SOON!
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa.
Sisi Sote ni njia 1.
Mwenyezimungu azilaze roho zenu mahali pema peponi.
Amina!
 
Ismail Omary my foot, majina ya waliokufa ninayo na hakuna hata mmoja anayeitwa Ismail Omary. Mmeweka jina la kiarabu ili kuwadanganya wahumini wa dini fulani kwamba wao pia ni wana chadema.
"Old tricks ain't dupe I and I"
Wewe toa rambirambi zako uende huu si wakati wa kuangalia majina au wewe ndiye uliyeshauri yule mkenya aitwe Waitara. Watu tuna mauchungu tunatoa rambirambi wewe unaleta utani,

'Eee mola wapokee waja wako Ismail na Denis wape pumzi ya uhai wa milele wakati wakipumua wapumulie chumbani kwa askari aliyewatoboa kwa risasi aaaa amen'.
 
Back
Top Bottom