Toa Rambirambi yako hapa

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Ndugu wana JF nimeona nianzishe thread hii rasmi kwa ajili ya kutoa rambirambi zetu kwa marehemu wa tukio la maandamano ya Arusha. Ninaomba tusiifanye thread hii kuwa ya kutolea vijembe vya kisiasa ila iwe ni kwa yeyote mwenye kujisikia kusema neno kwa marehemu na wafiwa.

Tunajua marehemu wataagwa kitaifa Januari 12 kwenye viwanja vya NMC Arusha lakini kwa tulio mbali tunaweza kujumika nao kiroho kwa njia hii.

Marehemu watakaoagwa siku hiyo ni;

Ismail Omary (40) wa kijiji cha Laki Tatu kata ya USA River Arusha, na
Denis Michael Ngowi (30) wa Rombo Mkuu mkoani Kilimanjaro.


Naomba kuwasilisha.
 
RIP wapiganaji mashujaa,
ni mapenzi ya Mungu kuja na kuondoka kwenu duniani. polisi walikuwa human agents tu, lakini ruhusa ilitoka kwake Mungu muweza wa yote. jina lake lihimidiwe
 
Wakati WAFIWA mkiwa na majonzi makubwa ya MUSIBA huu, tunaomba mujisikie kuwa SISI watanzania wenzenu tuko pamoja nanyi kuomboleza MUSIBA HUU WA TAIFA. "Waliokufa ni MASHUJAA wa Tanzania, na historia ya kutafuta ukombozi wa kweli waliyoionesha HAITAFUTIKA VIZAZI NA VIZAZI. Mungu atawahukumu wauaji POLISI SAWA SAWA na mapenzi yake. MUNGU ziweke pema ROHO za MAREHEMU HAWA; "BWANA ALITOA-NA BWANA AMETWAA-JINA LA BWANA LIBARIKIWE!
 
RIP wapiganaji mashujaa,
ni mapenzi ya Mungu kuja na kuondoka kwenu duniani. polisi walikuwa human agents tu, lakini ruhusa ilitoka kwake Mungu muweza wa yote. jina lake lihimidiwe
Thanks
 
Ismailly na Dennis damu yenu ndio chimbuko la mabadiliko Tanzania. RIP Brothers. Waliokatisha maisha yenu hawataweza kuzuia kile mlichokuwa mkikisemea kutokea, ni jambo la wakati tuu,hata huyo aliyefyatua risasi kuingia katika miili yenu ni kwa ujinga wake tuu hakufahamu kuwa mlikuwa mnamsemea hata yeye na familia yake ili waweze kupata maisha bora,haki na heshima. Hudhuni tuliyonayo sasa hivi haitatufanya tuinamishe vichwa vyetu chini milele bali itakuwa kichocheo cha kuendeleza hayo mliyo yapigania.
 
DENIS na ISMAIL NYIE NI MABABA WA MABADILIKO TANZANIA, DAMU YENU IMEANDIKA JIWE LA MSINGI WA TAIFA JIPYA LA TANZANIA. NAJUA BABA NA MAMA WANAUMIA KWA KUWAKOSA LEO, LAKINI KAZI KUBWA MUMEIKAMILISHA. MTU HUUMBWA NA MUNGU NA KUJA DUNIANI AFANYE KAZI NJEMA ALIYOTUMWA NYIE SEHEMU YENU MUMEIKAMILISHA HONGERENI NA PUMZIKENI KWA AMANI.
NINYI NI KAMA SOLOMON MAHRANGU NA MASHUJAA WENGINE TUNASIKIA SAUTI ZENU KUPITIA DAMU KWAMBA
MNATUPENDA SANA NA DAMU ZENU ZITAZAA MATUNDA YA TAIFA JIPYA LENYE UHURU NA HAKI NA KUJALIANA KWA KWELI
MUNGU AWAREHEMU
 
Many heroes fall during battle
this fight for freedom often costs
these bodies of men and women before us
is the true cost of freedom

but they will not be forgotten
we honor those souls that slip away
and know that they've become angels
In heaven, on this day

The memory of them lives on
as we sleep we see their face
the dreams seem so very real
we often imagine their warm embrace

God has given them free reign
to whisper gently to the trees
to glide effortlessly among the clouds
and dry your tears with a breeze

So as long as we are alive
we will hold them in our hearts
and as long as we can breathe
our heroes will never be apart

So as we bury you with honor
we will grieve, then heal & pray
and even though we'll miss you you
we'll be reunited in heaven one day

 
Naomba kuuliza.
Waliopoteza maisha ni wawili au kumi?
Nilimsikia Mbowe anasema kati ya marehemu, mmoja wapo ni raia wa kENYA, NI YUPI KATI YA HAO?
 
RPI brothers you will be always remembered...mashujaa wakweli as chakaza said damu yenu ndio mwanzo wa mabadiliko tanzania
 
Ndugu wana JF nimeona nianzishe thread hii rasmi kwa ajili ya kutoa rambirambi zetu kwa marehemu wa tukio la maandamano ya Arusha. Ninaomba tusiifanye thread hii kuwa ya kutolea vijembe vya kisiasa ila iwe ni kwa yeyote mwenye kujisikia kusema neno kwa marehemu na wafiwa.

Tunajua marehemu wataagwa kitaifa Januari 12 kwenye viwanja vya NMC Arusha lakini kwa tulio mbali tunaweza kujumika nao kiroho kwa njia hii.

Marehemu watakaoagwa siku hiyo ni;

Ismail Omary (40) wa kijiji cha Laki Tatu kata ya USA River Arusha, na
Denis Michael Ngowi (30) wa Rombo Mkuu mkoani Kilimanjaro.


Naomba kuwasilisha.

RIP marehemu wote, poleni wafiwa na wana CDM wote kwa ujumla.
 
Rambirambi zangu kwa Watanzania wote hasa kwa ndugu wa marehemu. Nimehifadhi majina ya marehemu hao amabayo nitayaandika katika vitabu vyangu na utafiti juu ya maendeleo ya mapambano ya demokrasia nchini Tanzania.
 
Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .
Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia
WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na
Viongozi wao .

Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni

ZAP – 0786 806028

MPESA – 0766334049
 
Many heroes fall during battle
this fight for freedom often costs
these bodies of men and women before us
is the true cost of freedom

but they will not be forgotten
we honor those souls that slip away
and know that they've become angels
In heaven, on this day

The memory of them lives on
as we sleep we see their face
the dreams seem so very real
we often imagine their warm embrace

God has given them free reign
to whisper gently to the trees
to glide effortlessly among the clouds
and dry your tears with a breeze

So as long as we are alive
we will hold them in our hearts
and as long as we can breathe
our heroes will never be apart

So as we bury you with honor
we will grieve, then heal & pray
and even though we'll miss you you
we'll be reunited in heaven one day


Its for you DENIS na ISMAIL
 
Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .
Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia
WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na
Viongozi wao .

Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni

ZAP – 0786 806028

MPESA – 0766334049

Naomba kujua kama hii ni tofauti na michango inayoendelea hapa

M-PESA: 0753444443
ZAP: 0688111161
TIGO PESA: 0659173663

AU FIKISHA MCHANGO WAKO OFISI YA MBUNGE ARUSHA MJINI

TUNAWAOMBA WANANCHI KUCHANGIA KIASI CHOCHOTE KWANI KITASAIDIA KUFANIKISHA SHUGHULI HIZI ZA MAZISHI NA MATIBABU KWA MASHUJAA WALIOJERULIWA VIBAYA.

MAWASILIANO:
GODBLESS LEMA ((MP) 0764 150747
JOHN BAYO (DIWANI) 0784 280262
 
This is a typical CLASS STRUGLLE.
The struggle of the oppressed vs the oppresor. We wont see peace unless if we unite and fight in oneness!...and in such struggles there occurs falling heroes,..Ismail and Denis, u r our shinning stars, but now fallen.
RIP BRODAs!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom