Mkuu salam. Pole kwa changamoto. ata mimi niliwahi kupitia kipindi kigumu zaidi yako , lakini nilitoboa. Nakushauri kama hutojari badirisha biashara, badirisha eneo, na pia usiruhusu kukata tamaa kabisa. sijajua wewe umeoa au umeolewa sijui jinsia yako lakini yote kwa yote kama ata kwenye mahusiano yako unapata changamoto kwasbb ya uchumi kushuka--usitumie muda kuwaza mahusiano. kipindi hiki waza unatokaje. kama utakubali kubadili biashara tutakupa mawazo zaidi. utavuka tu mkuuDepression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.
Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
I'm in btn devil and deep blue sea.
View attachment 2903809