To my JF family, nina DEPRESSION

Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

I'm in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
Kwenye picha hapo chini kulia kuna kikapu famous duniani yaani Iringa Basket.

Mkuu kuna breakthrough kwenye hiyo item. Karibu inbox....
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

I'm in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
Kwa kuweza tu kuandika hapa tayari uko pazuri! Mshukuru sana Mungu kuna wengine hawana hata uwezo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom