To my JF family, nina DEPRESSION

Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

I'm in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
Mkuu salam. Pole kwa changamoto. ata mimi niliwahi kupitia kipindi kigumu zaidi yako , lakini nilitoboa. Nakushauri kama hutojari badirisha biashara, badirisha eneo, na pia usiruhusu kukata tamaa kabisa. sijajua wewe umeoa au umeolewa sijui jinsia yako lakini yote kwa yote kama ata kwenye mahusiano yako unapata changamoto kwasbb ya uchumi kushuka--usitumie muda kuwaza mahusiano. kipindi hiki waza unatokaje. kama utakubali kubadili biashara tutakupa mawazo zaidi. utavuka tu mkuu
 
Update 17/02/2024
JF family asanteni sana nyie watu,nilifanya maamuzi sahihi sana kuleta hili jambo langu hapa nilikua nishapotea kiakili na sikua na turning point kabisa.

Jf ni sehemu salama kabisa ya kuleta jambo lako lolote linalokusumbua wema wapo wengi sana humu. USIOGOPE

Asanteni wote mlionipigia simu,mlioniPM kunishauri na mliotoa ushauri wenu na kutoa shuhuda zenu hapa Mungu awabariki sana..

Nimekubaliana na hali kuwa nipo vibaya
Nimekubaliana na hali kuwa nadaiwa
Nimekubali kuwa natakiwa kuwalipa wanaonidai wote by any means
Nimekubali kuwa magumu siyapitii peke yangu and I have to get my $ss up

Hivyo NIISHI

Watu wameuliza kuhusu status yangu ya life,ni hii
Mimi ni Me 26yrs ,sijaoa wala sina mtoto ila nina mama zangu wawili wananitegemea.
20240104_213411.jpg
 
Mkuu salam. Pole kwa changamoto. ata mimi niliwahi kupitia kipindi kigumu zaidi yako , lakini nilitoboa. Nakushauri kama hutojari badirisha biashara, badirisha eneo, na pia usiruhusu kukata tamaa kabisa. sijajua wewe umeoa au umeolewa sijui jinsia yako lakini yote kwa yote kama ata kwenye mahusiano yako unapata changamoto kwasbb ya uchumi kushuka--usitumie muda kuwaza mahusiano. kipindi hiki waza unatokaje. kama utakubali kubadili biashara tutakupa mawazo zaidi. utavuka tu mkuu
Nashukuru sana ndugu,niko tayari kubadili hii biashara mkuu.
Niko tayari kupata mawazo yako ndugu yangu
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

I'm in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
POLE SANA.

Usijali, bado kuna suluhu. Mlango mmoja unapofunga, mwingine hufunguka, lakini shida yetu huwa tunautizama kwa majuto uliofunga na kutokuona mlango ulio wazi.
Tuliza akili, fikiri ulipokosea na kutafuta suluhu mbadala, kisha songa mbele.
 
Biashara nafanyia iringa..
0614228735
Naomba mje mnunue hata kisu nipate kusurvive wakuu🙏

Update 17/02/2024
JF family asanteni sana nyie watu,nilifanya maamuzi sahihi sana kuleta hili jambo langu hapa nilikua nishapotea kiakili na sikua na turning point kabisa.

Jf ni sehemu salama kabisa ya kuleta jambo lako lolote linalokusumbua wema wapo wengi sana humu. USIOGOPE

Asanteni wote mlionipigia simu,mlioniPM kunishauri na mliotoa ushauri wenu na kutoa shuhuda zenu hapa Mungu awabariki sana..

Nimekubaliana na hali kuwa nipo vibaya
Nimekubaliana na hali kuwa nadaiwa
Nimekubali kuwa natakiwa kuwalipa wanaonidai wote by any means
Nimekubali kuwa magumu siyapitii peke yangu and I have to get my $ss up

Hivyo NIISHI

Watu wameuliza kuhusu status yangu ya life,ni hii
Mimi ni Me 26yrs ,sijaoa wala sina mtoto ila nina mama zangu wawili wananitegemea
View attachment 2906383
Hiki kitabu unamaana gani kututumia?
 
Bingwa pole sana
Funga virago, njoo mjini tubanane, yaani njoo Darisalam, hapa hukosi hata kama unakuja na akili yako tu, pesa utazikuta hukuhuku.
 
Biashara nafanyia iringa..
0614228735
Naomba mje mnunue hata kisu nipate kusurvive wakuu🙏

Update 17/02/2024
JF family asanteni sana nyie watu,nilifanya maamuzi sahihi sana kuleta hili jambo langu hapa nilikua nishapotea kiakili na sikua na turning point kabisa.

Jf ni sehemu salama kabisa ya kuleta jambo lako lolote linalokusumbua wema wapo wengi sana humu. USIOGOPE

Asanteni wote mlionipigia simu,mlioniPM kunishauri na mliotoa ushauri wenu na kutoa shuhuda zenu hapa Mungu awabariki sana..

Nimekubaliana na hali kuwa nipo vibaya
Nimekubaliana na hali kuwa nadaiwa
Nimekubali kuwa natakiwa kuwalipa wanaonidai wote by any means
Nimekubali kuwa magumu siyapitii peke yangu and I have to get my $ss up

Hivyo NIISHI

Watu wameuliza kuhusu status yangu ya life,ni hii
Mimi ni Me 26yrs ,sijaoa wala sina mtoto ila nina mama zangu wawili wananitegemea
View attachment 2906383
Ukweli usemwe.. mkuu kuanzia January hadi now halingumu kwa wote, hasa sisi wafanya biashara wadogo... Mimi ofisi kwangu zinapita hata siku tatu dogo hajapata hata mia.. Tunajipamoyo mkuu.. hauko peke ako.. Mungu atujalie wote maisha yawe mepesi. Nawasilisha.
 
Upo mkoa gani mkuu
 
Kwakweli hutaki kuamini,ila jitahidi kuwa mvumilivu pia jitahidi kutafuta chanzo ili uweze kufix ukipata nafasi zaidi Muombe Mungu atakusaidia
 
Back
Top Bottom