Time is part of the exam..

Da vinci jr

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
202
34
JE.ni haki kwa wanafunzi wanao fanya A.Physics kufanya mtihani kwa masaa ma3 wakati Divinity ni masaa ma3 na nusu?
 
ni haki kabisa kwani inategemea wingi wamaswali na format yake...
 
tatizo lako ni muda? Hata ukipewa masaa kumi kama hujui hujui tu.
Nina uwakika kabisa,Yale maswali kuua soma na kuyaelewa tu...ni lisaa kimoja...toff auto ni kiwamba,mnasoma ambayo walifanya Mitanni kwa masaa ma3 ni Yale ambayo hayahitaji mida refi wa kuyaelewa maswali..siriously,divinity 3hours afu physics 2.5?
 
Back
Top Bottom