DOKEZO Chuo cha DMI (Dar es Salaam Maritime institute) kuna sintofahamu kwenye malipo ya Kitambulisho cha Wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Chuo cha DMI (Dar es Salaam maritime institute) kuna changamoto wanafunzi tunapitia.

Watu wanalipa ada na pesa ya usajili ambayo kwenye iyo pesa ya usajili wamechanganua kua kuna kupatiwa ID Larkin cha kushangaza tunalipa ada na pesa ya usajili kw wakati lakn hawatoi id mpaka tulipie bima ya afya!

Wakati kwenye form zetu za kujiunga hawakuorodhesha pesa ya Bima ya Afya matokeo yake tunazuiliw kuingia chuo sababu hatuna ID na kukosa kufanya assignment na test ata FINALS kuna watu wamelipa kila kitu Ikn kasoro pesa ya bima tu wamezuiliw kufany mitihan Hii sio HAKI sababu wazazi wengine wanapita pesa kwa shida sana alafu leo hii mtu anazuiliwa kufanya mtihani ni wakati pesa za ada na usajili alishapambn zikalipwa Hii inatuumiza Sanaa
 
Back
Top Bottom