Mlikuwa mna maana gani kwenye tahasusi ya elimu za dini kutumia Divinity?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Kuna sehemu kama inaonekana wa kristo wamekosewa heshima kuwekwa kwenye kundi divinity maana yake ni uungu.

Mean
A divinity is a religious being, like a god or angel. It's also a word for the study of religion, which is studied at divinity school. If you know the word divine means holy or sacred, then you have a clue to the meaning of divinity, which can be a god or other religious being.

Kama lilikuwa na maana kwa nini kwenye hizo combination mkatenga special islam na mbona za christian mjaweka mkaunganisha christian kwenye divinity.

Hili neno kwa mtu muelewa ushajua nini kinachoendelea

434114119_7362853297139632_7838242200905871613_n.jpg
 
Waliopanga hizo comb ni wapuuzi, lengo hasa ni kuingiza uislam rasmi kwenye mtaala wa taifa. Wakaona italalamikiwa, ili kupotezea hilo wakaweka divinity kufunika upuuzi wao. Wamechemka kwa hilo, walitaka kubalansi dini.
 
Yaaan divinity ni kitu kipana Sana elimu ya mashetani unaipata apo kusoma nyota ,uchawi,mambo ya yoga na miungu yake,na mambo ya matambiko,mizimu na vodoo(spirit) lakin nazan kuuweka ukristo uko ndan si Sawa kwasababu ukristo unamfumo maalumu wa mafunzo na kitabu chao ni kimoja na kinafaamika(pamoja na yote bado naamini ukristo uta kick-in japo ukienda kwenye Sheria lazima italeta controversial)
 
Ilivyo, kila dini ina vyuo vyake wanakofundishana imani zao huko, kuna madrasa za waislam wanafundishana tangu watoto wadogo huko wanakokutana, kuna bible study wakristo wanafundishana huko makanisani na vyuo vyao kulingana na imani za madhehebu yao na imekuwa hivyo bila mikanganyiko.

Ukitaka uchungaji unaenda chuo chake cha dhehebu unalotaka kwa mujibu wa imani uliyonayo. Hao wa maseminari nao wana utaratibu wao wa kupata elimu ya dini na imani zao.

Inakuaje sasa mambo hayo ya dini yaingizwe kwenye mitihani ya taifa? Ndio, ilikuwepo islamic knowedge na bible knowldge kama masomo yasiyokuwa na msukumo mkubwa hata ukipata A haihesabiki katika kuomba ajira au kozi ya kitaalam. Eti sasa hayo masomo ya pembeni yameingizwa rasmi na kuundiwa comb.

Kwa hiyo nikitaka kuwa sheikh/mchungaji maksi zangu zita be regarded na NECTA. Sasa hapa serikali ndio imejiingiza kwenye dini au dini ndio imejiingiza kwenye serikali? Huu ni mkanganyiko mtupu katika taifa lisiloongozwa kwa misingi ya dini
 
Ilivyo, kila dini ina vyuo vyake wanakofundishana imani zao huko, kuna madrasa za waislam wanafundishana tangu watoto wadogo huko wanakokutana, kuna bible study wakristo wanafundishana huko makanisani na vyuo vyao kulingana na imani za madhehebu yao na imekuwa hivyo bila mikanganyiko. Ukitaka uchungaji unaenda chuo chake cha dhehebu unalotaka kwa mujibu wa imani uliyonayo. Hao wa maseminari nao wana utaratibu wao wa kupata elimu ya dini na imani zao. Inakuaje sasa mambo hayo ya dini yaingizwe kwenye mitihani ya taifa? Ndio, ilikuwepo islamic knowedge na bible knowldge kama masomo yasiyokuwa na msukumo mkubwa hata ukipata A haihesabiki katika kuomba ajira au kozi ya kitaalam. Eti sasa hayo masomo ya pembeni yameingizwa rasmi na kuundiwa comb. Kwa hiyo nikitaka kuwa sheikh/mchungaji maksi zangu zita be regarded na NECTA. Sasa hapa serikali ndio imejiingiza kwenye dini au dini ndio imejiingiza kwenye serikali? Huu ni mkanganyiko mtupu katika taifa lisiloongozwa kwa misingi ya dini
Mi nazan tuache hofu na uwoga nchi hii haiwez kuwa ya dini moja maana tumechanganyika Sana,ila tunakoelekea mambo mengi yataamuliwa kiroho siyo kidini
 
Kwani uoga wa nn wakuu. Nnavyojua divinity itakuwa ni ukristo tu . Ni jina official linalotumika kwenye somo hilo na halijaanzishwa na watanzania. It's all about bible.
 
Dini lazima iwekwe kwenye mifumo ya watu wasio jitambua ili waweze kuwatawaleni vizuri.
 
Back
Top Bottom