Kamende
JF-Expert Member
- Mar 1, 2008
- 416
- 45
Wakuu nimeaona vema kuleta hoja hapa jukwaani kuilalamikia kampuni ya simu za mkononi kwamba inaumiza sana wateja wake kwa bei za hudama zake.
Bei yao ya kupiga simu kwa sasa ndo inayoongoza nchini,
Ukimhamishia mtu salio wanakukata bila huruma.
Ukipiga simu na kumkosa unayempigia halafu ukajichanganya kwa kufuata maelezo yao ya kuacha ujumbe wa mdomo umekwisha.
Ukisubscribe kwenye huduma yoyote ya ujumbe mfupi, iwe nyimbo za wanaokupigia ama kuuliza habari mahsusi utakoma.
Ukiingia kwenye michezo yao hata utakapotaka kuunsubscribe hawakutoi mara moja bali wataendelea kukupa huduma kwa gharama zako
Kwa kuzingatia kuwa mtandao huu ndo uliokuwa kimbilio la walalahoi na hasa wanafunzi nimeona nilete lalamiko langu hili hapa jukwaani ili wapewe kwanza ushauri kabla sijafikiria kuanzisha mgogoro nao.
Naomba kuwasilisha.