Mimi nilishawahi kuweka salio la tigo kwa njia ya nmb mobile, pesa wakakata na salio hawajaweka hadi leo ukipiga cm yako inaita haipokelewi na hela wanakata, wezi sana hawa tigo
Jamani, hivi unawezaje kujitoa kwenye promotion ya Tshs 500 kwa dk 10 na sms 100? Kinanchouzi ni kuwa wanakata kila siku na lazima upige kwenda Tigo tu