kifungo cha nje jamani !!!
Anatoka Alipakaza Mavi Kwenye Ndege Kule Chooni,,alivo Mshenzi Akapaka Mpaka Sehemu Ya Kukalia...kutokana Na Kuzidiwa Ikawa Wakwanza Kwenda Nkamuuliza Muhudumu Akasema Ametoka Yule Kaka ,,,duh Jamani Mavi Yote Yalirudi Ndani Mpaka Airport Toilet....nafikiri Hii Itamfundisha
Amefungwa jela Mwaka mmoja na Mahakama moja ya Mwanzo Kariakoo baada ya kutiwa hatiani kwa kumshambulia mkazi mmoja wa Dar Khalid Mohamed.
Sasa unafurahia nini? wabongo kwa kuombeana mabaya hatujambo.....huyu jamaa hapewi mpya kutokana na ubishoo wake atapewa chakavu tu tena kwa maksudi yeye si superstar jmosi/jpili nenda segerea kamwangalia utaona wiki tu atakuwa kanyoloswa huyu anaenda kukutana na wanaume wababe bora asipokee ugali wa mtu maanake atakacho pata sijui kama atamsimulia huyo Siwema
Hili lijamaa jela ndio mahala pake pa kuishi......kuna wale wanaojiita magangsta Kikosi cha Mizinga wale nao ovyoooo!Angeanza Dudu Baya kabisaaa kipindi kile.
Sasa unafurahia nini? wabongo kwa kuombeana mabaya hatujambo.....
Hili lijamaa jela ndio mahala pake pa kuishi......kuna wale wanaojiita magangsta Kikosi cha Mizinga wale nao ovyoooo!
Hili lijamaa jela ndio mahala pake pa kuishi......kuna wale wanaojiita magangsta Kikosi cha Mizinga wale nao ovyoooo!
Mkuu unawajua Kikosi kweli? na kiongozi wao Kala Pina?........bora ya wabana pua(Marlaw,Ali kiba,matonya etal) wanaingiza pesa kwa kubana pua zao kuliko hao wanajifanya magangsta kwa kuiga enzi za west coast na east....hailipi hiyo....kikosi wanakuwa hovyo kwa sababu gani?
unaweza kunipa sababu?
au kwa vile hawabani pua?
Mkuu unawajua Kikosi kweli? na kiongozi wao Kala Pina?........bora ya wabana pua(Marlaw,Ali kiba,matonya etal) wanaingiza pesa kwa kubana pua zao kuliko hao wanajifanya magangsta kwa kuiga enzi za west coast na east....hailipi hiyo....
Sikiliza kibao cha Madee(Hip hop hailipi)....wakati naandika haya nasikiliza Cinderela toka kwa Ali kiba