Tibaijuka akataa kupokea shilingi 200 millioni

Tanzania kuna ma prof wawili tu nnaowajua pro kabudi na majamba....wengine njaa tu.
 
Kabla ya kumlaumu ungepata majibu ya kwanini kaacha pia una uhakika kama kuna pesa ilitolewa maana tusije kuwa tunachangia hoja kwenye propaganda tupu alafu huna uhakika na uthibitisho kuwa kapewa na akakataa
wabongo bana mnasema sanaa acheni kiherehere sometimes kumbuka unapomnyoshea mwenzio kidole vitatu vinakugeukia
 
Tiba alipokea pesa za mboga zitokazo kwa maskini watanzania zisizo halali ila anakataa pesa ya mzungu halali. Tiba mcheshi sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
haimtoshi hata mboga!! Yy mboga tu bilioni na mapoint Sasa Ivo vijisenti atafanyia nini?? Wapewe hao kibera
 
Fedha za UN maadili yanambana Fedha za walipa kodi hayna maswala ya maadili kumbana..acheze zake huko..
 
Huyu mama atakua kaangalia series moja Netflix inaitwa House of Cards, hehehe tusichezeane akili, unakataa 200M kwa moyo moja? doesn't happen unless unayo mara 100 ya hiyo au unacheza na akili za watu.
Hata kama anazo nyingi kiasi gani bado haiingii akilini, jimbon kwake kuna matatizokibao , jiulize ni wangapi wanakufa kwa kukosa huduma ya afya ? Hizo m200 si zingetosha kwa zahati 1? Wangapi wanakufa kwa kunywa maji machafu jimbon kwake ? Hizo m200 ni visima vingapi vya maji ? au xray 1 au ultrasound 1 ni sh ? Huu uprof. Naona una matatzo sitaman hata kuupata.
 
SITAKI KUWA PROFESA MAANA HATA KITILIA MKUMBO TOKA AWE PROFESA NOW A DAYS SIMUELEWI, LIPUMBA NAYE NDO KADATA ANALALA OFISINI
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.


Duh! Kwenye chama chetu tunaita TAKRIMA ,Mama umekosea kukataa takrima! Kama ilikuwa shaka ungemuuliza katibu mkuu wetu wa zamani Mzee wa Lushoto akufafanulie Takrima ni kitu gani?
 
Hapo ndo utagundua kila mtu anamuingia Bw. Maharage kwa staili yake maana wameshagundua udhaifu wake.
 
mtoa post huna akili aujui kwanini hajachukua pesa pili hujajua kasema nini kaa kimnya!!!!yeye kawaambia kupokea pesa haifai ila mm ninetoka ulemkoa ulopata maafa nazan ushapata jib tumia akili ya kujiongeza.
Wakora waitu.. Hili alina akili kabisa!!
 
Back
Top Bottom