Tibaijuka akataa kupokea shilingi 200 millioni

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
 
Haaaaah sizitaki mbichi hizi....

Ccm imewageuza maprofesor na kuwafanya kuwa wanafiki.....

Hawatumii elimu yao kusaidia wengine wakati walisoma kwa kodi za wengine........

Only in black continent.........
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Za Ruge alibeba, pia 200m kwake ni mbonga ya siku 20 tuu
 
Huyu mama atakua kaangalia series moja Netflix inaitwa House of Cards, hehehe tusichezeane akili, unakataa 200M kwa moyo moja? doesn't happen unless unayo mara 100 ya hiyo au unacheza na akili za watu.
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
ZILE FEDHA ZA MBOGA AU MCHICHA MBONA ALIPOKEA, AMERUDISHA AU BADO NI COMEDY TU KAMA KAWA????????????????????
 
  • Thanks
Reactions: BAK
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom