Tibaijuka akataa kupokea shilingi 200 millioni

MAGUFULI MBONA ALIPOKEA NG'OMBE JUZI KATI HAPA RWANDA YEYE ANAOGOPA NINI???
 
Leo ndo anajikuta ana morals
Kwanini asingesema hivyo wakati wanamgawia zile fedha za escrow

Kugeuza geuza maneno - kwani fedha alizo pewa Rugemalila zilikuwa ni haramu si zililipiwa kodi stahiki? Taifa hili lina mamlaka gani ya kuhamulia wenye fedha halali wampe nani wamwache nani - Tibaijuka alifanya kosa gani la jinai zaidi ya watu kutokana wivu na roho mbaya kumzulia mama wa watu mambo chungu mzima na fitina tu, mbona mzee Mengi aliwahi kumpatia fedha Prof. Tiba kwa madhumuni kama ya Rugemalila mbona Serikali ya awamu ya nne ilikaa kimya kuhusu fedha za Mzee Mengi - ya Rugemalila ndiyo yakakuzwa out of proportion na wengi walio pewa fedha na Rugemalila walitiwa msukosuko kweli kweli - hata Rugemalila angehamua kugawa fedha zake sokoni kama njungu kwani tatizo ni nini- zi zake?

Mama wa watu katiwa msukusuko na kuhojiwa maswali yasiyo na mantiki eti "fedha za shule yako kwa nini hukushirikisha Bodi" - Serikali ilitaka imwigilie mpaka jisi ya ku-run shule ambayo ni ya kwake binafsi (Private). Ukosefu wa msimamo ya Serikali ya nne kuhusu suala hili ukawaondoa Prof. Tiba na Prof.Muhongo watu ambao walikuwa na umuhimu wa pekee Serikalini wakatemwa kwa shinikizo lisilo na mantiki hata kidogo zaidi ya fitina tu na kugeuza geuza maneno ili wapate kisingizio cha kuwahengua.

Sina shaka after shock ya Tsunami iliyo mpata imemfanya a decline tuzo lililo halali kwake - si kama tuzo la Nobel tu, sasa tatizo ni nini kwani - au alijua watu watanza tena kumzulia mambo.
 
Kitendo cha Serikali kutafuta pesa kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tetemeko wa mkoa wa Kagera huku jimbo la Buleba likiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera Mbunge wake akiwa ni Profesa Anna Tibaijuka ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya kimataifa ya maswala ya uongozi na KUKATAA TAKRIBANI T..SH 200 MIL KAMA KIAMBATA CHA TUZO.NI JAMBO LA KUSTAJABISHA KWA KIONGOZI MKUU KAMA HUYU ANAYETOKA KATIKA ENEO LILILOATHIRIKA NA JANGA HILI AMBAPO BADO JUHUDI ZA KUKUSANYA MICHANGO ZINAENDELEA FANYIKA. LAITI KAMA NINGEKUWA NI MWENYEKITI WA CCM NINGEMVUA UANACHAMA KAMA HATUA MUHIMU YA KUELEKEA MVUA UBUNGE WAKE
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.

ok profesa badala ya kupokea hela ya mboga sasa umeongeza uadilifu. washawishi waitoe kwa tetemeko. ukipewa hela kama hiyo usiwache kua muwazi uitoe kwa manufaa ya watanzania.
 
ILE TIMU YENU ILIYOENDA UJERUMANI KUHONGWA WAO,WAO WANGECHUKUA FASTA FASTA, NJAA MBAYA SANA NDIO MAANA DR.SLAA MULIMUUZA KAMA MTUMBA.
 
Hivi Maprofessor wa Tanzania ni nani aliyewaroga?

Kwanini msijikite kwenye courses mlizosomea badala ya kukimbilia siasani tu?
 
Kitendo cha Serikali kutafuta pesa kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tetemeko wa mkoa wa Kagera huku jimbo la Buleba likiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera Mbunge wake akiwa ni Profesa Anna Tibaijuka ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya kimataifa ya maswala ya uongozi na KUKATAA TAKRIBANI T..SH 200 MIL KAMA KIAMBATA CHA TUZO.NI JAMBO LA KUSTAJABISHA KWA KIONGOZI MKUU KAMA HUYU ANAYETOKA KATIKA ENEO LILILOATHIRIKA NA JANGA HILI AMBAPO BADO JUHUDI ZA KUKUSANYA MICHANGO ZINAENDELEA FANYIKA. LAITI KAMA NINGEKUWA NI MWENYEKITI WA CCM NINGEMVUA UANACHAMA KAMA HATUA MUHIMU YA KUELEKEA MVUA UBUNGE WAKE
Ile 1.6 inatosha, mama hana tamaaa
 
Japo si support, ila kama angechukua huku bongo mngemkata kodi ya milioni mia, ndo maana kaona ni ufala tu au mnazani amesahau.TRA mmepigwa bao la Kisigino na kodi zenu za kukomoa, hiyo inaitwa tukose wote.
 
Hivi Maprofessor wa Tanzania ni nani aliyewaroga?

Kwanini msijikite kwenye courses mlizosomea badala ya kukimbilia siasani tu?
90%!ya maprofesa wa Tanzania ni wajinga wajinga sana mfano angalia matendo ya kapuya hata wale wenye phd akina mwakyembe walinunua mabehewa feki huku akimfundisha uzushi phd mwenzake Slaa, wenzao akina kitila, lipumba wamekuwa vioja kwa kweli Uprofesa wa Tz ni kituko
 
ILE TIMU YENU ILIYOENDA UJERUMANI KUHONGWA WAO,WAO WANGECHUKUA FASTA FASTA, NJAA MBAYA SANA NDIO MAANA DR.SLAA MULIMUUZA KAMA MTUMBA.
Slaa hakuuzwa alirubuniwa na membe akanunuliwa kwa pesa haramu za marehemu Gadafi. Sasa hv anajutia baada ya kugundua alichofanya ni ujinga.
 
Ukifanyika mtihani darasani kwa masomo yale yale wanayodai walisomea nina imani wengi watapata zero hususani maprofesa wawili yaani Lipumba na mwenzake kitila kichwani wamesahau kila kitu wanebakia na Elimu ya msingi na Elimu Dunia ya kusoma magazeti tu.
 
Back
Top Bottom