Tallmfupi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2015
- 240
- 78
IyeboojoAna haki akatae hii si hela ya kitunguu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IyeboojoAna haki akatae hii si hela ya kitunguu tu
AMEOGOPA BAADA KUSIKIA ILE AKAUNTI YA DUPLICATE MAAFA KAGERA IMEWATIA NDANI WENZAKE WA KIKAO CHA RCC ! YEYE NI MJUMBE WA KIKAO HICHO CHA MKOA KWA HIYO ALIJUA KUNA AKAUNTI YA MKOATunazugwa tu!
Wanasiasa wengi huwa wanapenda sana maigizo kuliko ukweli, hapo alidhani anajiongezea political credits kumbe anajiharibia. Kutenda bila kufikiri.Nakubaliana nawe hii ni pesa yake halali, hakuna maadili ya kukataa pesa halali....AMEKURUPUKA!
Apokee tu afanye za Unga au Mchelee maana za mboga tayari anazoBy Raymond Kaminyoge, Mwananchi
Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.
Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.
Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.
Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Khe khe kheeeeeee maadili hayo hakuyajua alipoamua kupokea bilioni 1.6 na kupiga kimya hadi alipogundua limebuma ndiyo akaamua kujitaja kwamba naye kapokea bulungutu.
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi