Tibaijuka akataa kupokea shilingi 200 millioni

Mtu anapewa pesa ya wizi anapokea tena kwa mikono miwili...akipewa pesa ya halali kwa watu kuthamini mchango wake katika kazi anakataa...eti maadili.

Kwa hiyo anataka kutuambia maadili ya Tanzania kwa viongozi wa umma ni kupokea pesa za wizi siyo???

Naona orodha ya professors wa ajabu ajabu Kutoka Tanzania inazidi kuongezeka.

Cha kusikitisha wote wanatoka UDSM...what a shame.
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Za halali hawataki , za magumashi wanataka !
 
Angechukua Kimya kimya tu maana alivyokataa ametutonesha Donda la escrow la VIP Engineering na fedha ya mboga 1.6billions.
 
Ni vema akapokea hiyo hela ya zawadi na kwenda kuwasaidia wananchi wake maana wako matatizoni kuhusu kuwa mtiifu kiasi hicho cna uhakika maana hajawahi kukataaa dili
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Huyu mama kweli kaamua kuchekesha!Sheria hata kama sijawahi kuifunua najua haisemi usipokee, ila inasema ukipewa fedha zaidi ya 50,000 unatakiwa ukaziwasilishe au kudeclare kwa immediate bosi , yeye ndio ataamua!Angempelekea spika tu
 
Dah mama, please chukua mpunga huo, wakati unafanya kazi huko haukuwa serikalini, kwa hiyo maadili ya utumishi wa umma hayakufungi.

Kamata mpunga mama usijivunge!
Umesema point ya nguvu. Hivi alikuwa kule kama mtumishi wa serikali au aliomba kazi akapata privately! If this is the case, anaogopa za nini sasa. Maadili hayamhusu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Muhaya huyo, hatakagi vitu vidogovidogo, anataka ma big things, yenye uzito wa maana, hawezi kupokea tumilioni mia mbili, anapokeaga bilioni za mboga sasa kama wanataka kumpa zawadi apokee wangempa trilioni, hawajui Tibaijuka ni nshomile kiwango cha uprofesa kutoka muleba, hatakagi ujinga.
 
Kama milion 10 zilikuwa za mboga unadhani milioni 200 za salon atazitaka?
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.

Hiyo ndio CCM Halisia. Ma CCM bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Du! Maadili? Zile 1.6 za Escrow vipi? Au hizi 200m ni kidogo za pipi tu!!
 
Angepokea tuuuuu, halafu akishapokea angesema anapeleka hizo hela kwa wahanga wa tetemeko la ardhi nchini mwake na kwamba hao wahanga wanahitaji msaada mkubwa zaidi. Pia angesema kumetokea tetemeko nchini mwake na si sehemu ya nchi anakotoka
 
  • Thanks
Reactions: BAK
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Ivi hawa viongozi wetu nani kawaroga,unaona sifa kuacha izo ela huku ndani unatuumiza alafu huko nnje mnajifanya wasafi,pathetic
 
  • Thanks
Reactions: BAK
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.

Ameona ni ndogo inaizidi kidogo hela yake ya mboga maana uko alishavuka kitambo yeye viwango vyake ni kuanzia USD 1m na si hivyo vi USD 0.1m.
 
Back
Top Bottom