Tibaijuka akataa kupokea shilingi 200 millioni

Hizi ni kauli za kihuni kabisa, wapi maadili ya nchi hii yaliposema kiongozi anakatazwa kupokea Tuzo ya wazi kama hiyo inayoambatana na fedha? Huo ni upuuzi unao endelea kuonyeshwa na maprofesa wetu. Kama yeye hana Shida ya Pesa na akazipokea na kupeleka hata jimboni na kuwaambia hii ni zawadi (Tuzo) yangu naomba inunue madawa kwenye zahanati hata wapiga kura wake sii wangemuona wa maana!
Hapo kaonyesha tuu dharau kwa waliokuwa wanansema juu ya zile za Escrow
 
B
Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Hizo pesa hazikuwa kwa ajili ya kazi alizofanya Tanzania ilikuwa kwa ajili ya kazi alizofanya umoja wa mataifa!! Kama kweli kasema kaipaka matope nchi yetu bila sababu.Yeye kwanza sio kiongozi wa serikali ni mbunge.Na hiyo nafasi ya umoja wa mataifa hakupelekwa na tanzania aliteuliwa na katibu mkuu wa umoja wa mataifa.Havina uhusiano
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
what a drama...!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Khe khe kheeeeeee maadili hayo hakuyajua alipoamua kupokea bilioni 1.6 na kupiga kimya hadi alipogundua limebuma ndiyo akaamua kujitaja kwamba naye kapokea bulungutu.
Ya Escrow ilikuwa hela ya mboga ' just as she claimed' siyo ya tuzo.
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Aseee mama acha utani, ujue m nashida na kulipia kodi, chukua kisha nigawie 6k,tu utabarikiwa...
 
Kwanini watu tuliowaamini sana hasa hawa maprofesa wanatuangusha kiasi hiki?
Wengine wanachofanya kwanza ni kupokea kisha unabaki na kikombe au tuzo lakini pale pale mbele ya hadhira unatoa cash money uliyopewa na kutangaza utampa nani kama ni wa mafuriko sawa nk nk
 
Mimi ninatoka anakotoka, ni muongo, grabbing grabbing lady. Shule ya wasichana ya Barbro ilikuwa ijengwe BKB kwa ajili ya watoto wa kike: kama alivyoacha usia wake mama Babro yeye na wenzake wakaufanya mradi wao na kuijenga Dar. Ni mnafiki, ana anachotaka ndani ya nchi, chama na serikali. Mimi simpendi kabisa. Moral hiyo imetoka wapi???
 
Zile za Ruge na Escrow alichukia kimyakimya na kutwambia kwamba milioni 10 ni pesa ya mboga, bali hizi ndio kaokoka na kujua kuna swala la maadili sio?! Kamgwaya Magu huyu hana lolote asitutanie!

By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
 
Hizi ni kauli za kihuni kabisa, wapi maadili ya nchi hii yaliposema kiongozi anakatazwa kupokea Tuzo ya wazi kama hiyo inayoambatana na fedha? Huo ni upuuzi unao endelea kuonyeshwa na maprofesa wetu. Kama yeye hana Shida ya Pesa na akazipokea na kupeleka hata jimboni na kuwaambia hii ni zawadi (Tuzo) yangu naomba inunue madawa kwenye zahanati hata wapiga kura wake sii wangemuona wa maana!
Hapo kaonyesha tuu dharau kwa waliokuwa wanansema juu ya zile za Escrow
NCHI MASKINI KAMA YA KWETU MTU ANAKATAA PESA KISHA ANATUSANIFU.KILA SIKU WANAENDA NJE KUOMBA MISAADA HALAFU
 
Back
Top Bottom