Tibaijuka akataa kupokea shilingi 200 millioni

Mkuu mimi naamini kitu kimoja: wanasiasa wa Tanzania wanatuona sisi wananchi akili zetu ni finyu sana sana kiasi ambacho hatuwezi hata kugeuka tuone kilicho nyuma yetu umbali wa mita moja.
Wana usanii mwingi, halafu wanatu underestimate. Wanadhani wakisema au fanya kitu, watu watakichukulia kama kilivyo bila kuchanganua au kuhoji.
 
Labda aliona hazitoshi hata kununulia fungu moja la mchicha ndio maana kazikataa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Labda aseme hizi hazitoshi kwa mboga.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
PROPESA anajifanya hana mchecheto na pesa eti kwa sababu ya maadili ya nchi!!!! Hivi Tanzania lini viongozi wameanza kuwa na maadili!?

Mkuu mimi naamini kitu kimoja: wanasiasa wa Tanzania wanatuona sisi wananchi akili zetu ni finyu sana sana kiasi ambacho hatuwezi hata kugeuka tuone kilicho nyuma yetu umbali wa mita moja.
 
Angepokea tuuuuu, halafu akishapokea angesema anapeleka hizo hela kwa wahanga wa tetemeko la ardhi nchini mwake na kwamba hao wahanga wanahitaji msaada mkubwa zaidi. Pia angesema kumetokea tetemeko nchini mwake na si sehemu ya nchi anakotoka

Nahisi angeziingiza kwenye ile akaunti ya afisa tawala wa mkoa na DED wake.
 
Kwa maadili haya safi sana Tibaijuka anafaa kuwa mgombea urais wa Chadema 2020.

Akina Malisa, Yericko na Ben Saanane hawatasumbuka kuzunguka nchi nzima kusafisha kama walivyoteseka 2015.
 
Mama Mnafiki sana huyu kupindukia! Maadili ndio leo anayaona? Pumba tupu hizi kha! Akina Lipumba wengine hawa!
 
Haaa haaaa kanusa kuna mabadiliko bazara la mawaziri haaa haaa Mama Mboga mjanja kweli kweli.
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Angechukua anaweka kwenye kamati ya maafa Kagera waaaa...................ndugu zetu wanakufa kwa baridi na njaa alafu dr anakataa pesa,hata sadaka kanisani haiulizwi imepatikana je
 
By Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.

Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.

Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.

Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Hamna lolote, jinamizi la esokorow bado linamsumbua..
 
Prof acha kiini macho rudisha 1.6 billioni Standarda Chartered wameshinda kesi,sasa hivi ndo umezijua sheria za nchi?
 
Mwongo, anapima uwezo wetu wa kuuona ukweli. Hawezi kuzikataa hela za zawadi. Atakuwa kamtuma bintiye akamchukulie na kuzibank hukohuko.
 
Back
Top Bottom