Throwback special thread: Hadithi na Mashairi ya zamani

Hplp2275H

JF-Expert Member
Jan 21, 2021
556
1,644
Upepo wa vuma twainama
Twainama hatuvunjiki
Mwalimu akisema ye hasikii

Mwenye nyimbo hii na Hadithi yake atupie hapa.

Jogoo wa ajabu..
Machaku na njiwa...
Sungura na fisi

Sitaki mbichi hizi..
Sadiki na Chitemo..

Tupia zako ..siyo tittle tuu Kama unakumbuka vizuri Ni vyema kushare nasi..

Tola gizani ♥️♥️♥️
1. Pamela na kipini
2. Siku ya gulio Katerero.
3. Tola alia gizani
4. Watoto wageuka mawe
5. Mkutano wa wanyama
6. Muwa uliozamisha meli
7. Sadiki na Chitemo
8. Jogoo aliyesema
9. Kuku na yai
10. Juma na Roza
11. Kibanga ampiga Mkoloni
12. Punda wa Dobi
13. Mr Daudi and his family
14. Urafiki wa mashaka
15. Nani atamfunga paka kengele
16. Barua kwa mjomba Ndolwa
17. Mpapai na mtete
18. Gurudumu la gumbo
19. Sikuelewi
20. Laa! laa! laaaaa!
21. Sikulamba sukari
23. Mvuvi aliyepotea
Kama umezaliwa 2000 tuache kidogo tuna Jambo letu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom