mshanajr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PMWAKA

    Ma Dr na watu wa Afya Mje mniokoe😭

    Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food nakiona kibaya, mwili ukaanza kuishiwa nguvu hadi sasa siwezi simama hata kwa takika 5 hivyo nikastop...
  2. Rusumo one

    Matokeo ya National Std 4 na Form 2 kutoka kabla ya Krismasi?

    Marhabaa wajukuu zangu kwa salama zenu, nirudi kwenye mada tajwa. Naskia sikia muda wowote kinasomeka ili sikukuuu ya Xmas mwenye kula pilau ale na mwenye kula ngarerimo ale kila mtu atakuwa na lake moyani. Hivi Msonde anafanya nini kutucheleweshea majibu ili wajukuu wafurahi na kupata nguo za...
  3. Hplp2275H

    Throwback special thread: Hadithi na Mashairi ya zamani

    Upepo wa vuma twainama Twainama hatuvunjiki Mwalimu akisema ye hasikii Mwenye nyimbo hii na Hadithi yake atupie hapa. Jogoo wa ajabu.. Machaku na njiwa... Sungura na fisi Sitaki mbichi hizi.. Sadiki na Chitemo.. Tupia zako ..siyo tittle tuu Kama unakumbuka vizuri Ni vyema kushare nasi...
Back
Top Bottom