Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Of course sisi kama Watanzania, Gadaffi ametuathiri sana kiasi kwamba kama ni kupigwa tunapaswa wote kuunga mkono achapwe sawasawa mpaka ashike adabu
SABABU 13 ZA GADAFFI KUPIGWA NA KUONDOLEWA MADARAKANI
Ndugu WanaJF, kumekuwa na ubishani mwingi wa viongozi wa Kiafrika, Waafrika wa kawaida, na wana jamii wa Kiislam kuwa kumuondoa Gadaffi ni uonevu, kuchukia Uislam na kuleta ukoloni mamboleo Afrika. Mimi ninao kuna sababu 13 za Gadaffi kupigwa na kuondolewa madarakani.
1. Gadaffi ndiye aliyeilipua ndege ya PANAM kule Lockerby Scotland mwaka 1986 hivyo ndiye gaidi mkongwe zaidi ya Osama.
2. Gadaffi alimtoa Al Magrahi yule gaidi mwenza kifungoni kwa kisingizio kuwa angekufa kwa kansa baada ya muda mfupi (wiki 3?). Mpaka leo bado anaishi.
3. Gadaffi alimsaidia Iddi Amin wa Uganda kuipiga Tanzania kwenye vita ya Kagera mwaka 1979. Askari wake walikamatwa mateka. Vita ile ndiyo aliyolimaliza Taifa la Tanzania na kutufikisha hapa tulipo.
4. Anasemekana kuwa mfadhiri wa ugaidi wa Wapelestina huko Islael na Gaza.
5. Amekuwa akifadhili ujenzi wa misikiti Afrika nzima badala ya maendeleo ya jamii. Kujenga misikiti siyo vibaya ila hilo siyo jumuku la mwanasiasa ni la kiongozi wa kidini.
6. Ana mali nyingi binafsi zimewekezwa nchi za Ulaya na Marekani na sasa zote zinashikiliwa.
7. Baada ya wananchi wa Libya kuandamana aliwaita PANYA NA MENDE! Wananchi wako wanawezaje kuwa panya na mende?( hivyo yeye pia ni panya na mende mwenzao. funny).
8. Ameahidi kuangamiza watu wote wanaompinga na ikibidi atabaki na mtu mmoja tu anayemtii!
9. Amekuwa akishambulia wanchi wake kwa ndege za kivita na makombora makubwa kwa lengo la kuwaangamiza.
10. Hakuna utawala wa sheria wa demokrasia ya aina yoyote Libya.
11. African Union haikufanya lolote kusuluhisha mgogolo wa Libya.
12. Hizo huduma za kijamii na kiuchumi kwa wananchi wake (Reality: ambazo ni nzuri) ni kidogo sana ukilinganisha na utajiri ilionao nchi ya libya. (kumbuka libya in raia pungufu ya milioni saba).
13. Ameahidi kushirikiana na ALKHAIDA iwapo WAZUNGU watamshambulia. (Note: Hao Alkhaida ambao hawajulikani waliko yeye atawapata wapi? Hii inaonyesha kuwa hao ni wenzake hiyo anajua mahali walipo kiasi cha kuweza kuwasiliana nao.
SABABU HII YA MWISHO INA UZITO SANA KIMATAIFA KULIKO TUNAVYOWEZA KUFIKIRIA. NI YA HATARI SANA NA HAIKUPASWA KUZUNGUMZWA HADHARANI NA MTU WA NGAZI YA RAIS KAMA YEYE.
Semeni wenyewe apigwe asipigwe?
sababu 13 za gadaffi kupigwa na kuondolewa madarakani
ndugu wanajf, kumekuwa na ubishani mwingi wa viongozi wa kiafrika, waafrika wa kawaida, na wana jamii wa kiislam kuwa kumuondoa gadaffi ni uonevu, kuchukia uislam na kuleta ukoloni mamboleo afrika. Mimi ninao kuna sababu 13 za gadaffi kupigwa na kuondolewa madarakani.
1. gadaffi ndiye aliyeilipua ndege ya panam kule lockerby scotland mwaka 1986 hivyo ndiye gaidi mkongwe zaidi ya osama.
2. gadaffi alimtoa al magrahi yule gaidi mwenza kifungoni kwa kisingizio kuwa angekufa kwa kansa baada ya muda mfupi (wiki 3?). Mpaka leo bado anaishi.
3. gadaffi alimsaidia iddi amin wa uganda kuipiga tanzania kwenye vita ya kagera mwaka 1979. Askari wake walikamatwa mateka. Vita ile ndiyo aliyolimaliza taifa la tanzania na kutufikisha hapa tulipo.
4. anasemekana kuwa mfadhiri wa ugaidi wa wapelestina huko islael na gaza.
5. amekuwa akifadhili ujenzi wa misikiti afrika nzima badala ya maendeleo ya jamii. Kujenga misikiti siyo vibaya ila hilo siyo jumuku la mwanasiasa ni la kiongozi wa kidini.
6. ana mali nyingi binafsi zimewekezwa nchi za ulaya na marekani na sasa zote zinashikiliwa.
7. baada ya wananchi wa libya kuandamana aliwaita panya na mende! Wananchi wako wanawezaje kuwa panya na mende?( hivyo yeye pia ni panya na mende mwenzao. Funny).
8. ameahidi kuangamiza watu wote wanaompinga na ikibidi atabaki na mtu mmoja tu anayemtii!
9. amekuwa akishambulia wanchi wake kwa ndege za kivita na makombora makubwa kwa lengo la kuwaangamiza.
10. hakuna utawala wa sheria wa demokrasia ya aina yoyote libya.
11. african union haikufanya lolote kusuluhisha mgogolo wa libya.
12. hizo huduma za kijamii na kiuchumi kwa wananchi wake (reality: Ambazo ni nzuri) ni kidogo sana ukilinganisha na utajiri ilionao nchi ya libya. (kumbuka libya in raia pungufu ya milioni saba).
13. ameahidi kushirikiana na alkhaida iwapo wazungu watamshambulia. (note: Hao alkhaida ambao hawajulikani waliko yeye atawapata wapi? Hii inaonyesha kuwa hao ni wenzake hiyo anajua mahali walipo kiasi cha kuweza kuwasiliana nao.
sababu hii ya mwisho ina uzito sana kimataifa kuliko tunavyoweza kufikiria. Ni ya hatari sana na haikupaswa kuzungumzwa hadharani na mtu wa ngazi ya rais kama yeye.
semeni wenyewe apigwe asipigwe?
Inaonyesha hapa ndo kikomo cha akili yako!
kwa kweli wacha wamchape tuu amezidi sanaSABABU 13 ZA GADAFFI KUPIGWA NA KUONDOLEWA MADARAKANI
Ndugu WanaJF, kumekuwa na ubishani mwingi wa viongozi wa Kiafrika, Waafrika wa kawaida, na wana jamii wa Kiislam kuwa kumuondoa Gadaffi ni uonevu, kuchukia Uislam na kuleta ukoloni mamboleo Afrika. Mimi ninao kuna sababu 13 za Gadaffi kupigwa na kuondolewa madarakani.
1. Gadaffi ndiye aliyeilipua ndege ya PANAM kule Lockerby Scotland mwaka 1986 hivyo ndiye gaidi mkongwe zaidi ya Osama.
2. Gadaffi alimtoa Al Magrahi yule gaidi mwenza kifungoni kwa kisingizio kuwa angekufa kwa kansa baada ya muda mfupi (wiki 3?). Mpaka leo bado anaishi.
3. Gadaffi alimsaidia Iddi Amin wa Uganda kuipiga Tanzania kwenye vita ya Kagera mwaka 1979. Askari wake walikamatwa mateka. Vita ile ndiyo aliyolimaliza Taifa la Tanzania na kutufikisha hapa tulipo.
4. Anasemekana kuwa mfadhiri wa ugaidi wa Wapelestina huko Islael na Gaza.
5. Amekuwa akifadhili ujenzi wa misikiti Afrika nzima badala ya maendeleo ya jamii. Kujenga misikiti siyo vibaya ila hilo siyo jumuku la mwanasiasa ni la kiongozi wa kidini.
6. Ana mali nyingi binafsi zimewekezwa nchi za Ulaya na Marekani na sasa zote zinashikiliwa.
7. Baada ya wananchi wa Libya kuandamana aliwaita PANYA NA MENDE! Wananchi wako wanawezaje kuwa panya na mende?( hivyo yeye pia ni panya na mende mwenzao. funny).
8. Ameahidi kuangamiza watu wote wanaompinga na ikibidi atabaki na mtu mmoja tu anayemtii!
9. Amekuwa akishambulia wanchi wake kwa ndege za kivita na makombora makubwa kwa lengo la kuwaangamiza.
10. Hakuna utawala wa sheria wa demokrasia ya aina yoyote Libya.
11. African Union haikufanya lolote kusuluhisha mgogolo wa Libya.
12. Hizo huduma za kijamii na kiuchumi kwa wananchi wake (Reality: ambazo ni nzuri) ni kidogo sana ukilinganisha na utajiri ilionao nchi ya libya. (kumbuka libya in raia pungufu ya milioni saba).
13. Ameahidi kushirikiana na ALKHAIDA iwapo WAZUNGU watamshambulia. (Note: Hao Alkhaida ambao hawajulikani waliko yeye atawapata wapi? Hii inaonyesha kuwa hao ni wenzake hiyo anajua mahali walipo kiasi cha kuweza kuwasiliana nao.
SABABU HII YA MWISHO INA UZITO SANA KIMATAIFA KULIKO TUNAVYOWEZA KUFIKIRIA. NI YA HATARI SANA NA HAIKUPASWA KUZUNGUMZWA HADHARANI NA MTU WA NGAZI YA RAIS KAMA YEYE.
Semeni wenyewe apigwe asipigwe?
Yangu au yako? Ni kweli. Lakini Mbona hukuonyesha kama una akili yoyote?

...(hapo kwenye red) lakini wakati maandamano ya wananchi yanaanza alisema ni vikundi vya 'Alkaida'! Na watu wanashangaa waasi kuwa na siraha lakini Ghadafi amekataliwa siku nyingi ila sema ubabe wake tuSABABU 13 ZA GADAFFI KUPIGWA NA KUONDOLEWA MADARAKANI

Semeni wenyewe apigwe asipigwe?[/FON
your words might be logical BUT NOT EVERY LOGIC IS TRUE achana na data usizokuwa na uhakika nazo pamoja na kupumbazwa na siasa za magharibi ambazo kila kukicha zinataka kunyonya raia wa nchi nyingine ili kufurahisha raia zao))nyie ndo wale watu ambao mnawachukulia watu kama waingereza eti ndugu zenu ..tangu lini mnadiriki hata kumuita malkia eti Bibi yenu toka lini unazani nanyi wanawachukulia kama mnavyowachukulia?wacha bwana
sikubaliani nawe kwenye hiyo red.... umaaskini wetu hakuletwa na vita ya iddi amini... kuna nchi zimetoka wkenye vita mbaya kuliko yetu (mathalani rwanda) lakini bado wanafanya vizuri kwenye uchumi.. sisi tuna zaidi ya miaka ishirini toka tupigane hiyo vita ambayo mikoa iliyoathirika sio mingi na bado hatujafanya lolote la maana..
UMASKINI WAKO MTANZANIA UNALETWA N AVIONGOZI WAKO WALAFI SIO USINGIZIE VITA AMBAYO IMEKWISHA MIAKA MINGI ILIYOPITA hebu lete sababu za msingi.... tafuta sababu nyingine ya kumpiga ghadafi sio hiyo ya vita wala hiyo ya huduma za jamii... kuna wanaojilimbikiza mali wengi tu katika mataifa yote ulimwenguni... ila husikiiw engine wametulia coz wanahakikisha mwananchi wa kawaida hafikirii kesho atakula nini... wanajua jinsi ya kula na kipofu ... viongozi wenu wao sio tu kuwa wakila na vipofu wanawashika mikono wao wameifunga hiyo mikono kwenye mti kabisa...
acha siasa za mitaani na kuwa fikra za kujazwa.. wote tunajua kwa nini western country wanataka kumtoa ghadafi libya.... ndio maana wale wanaopigana nae ndani wakaitwa WAASI... ni tofauti na misri waliitwa UMMA.
SABABU 13 ZA GADAFFI KUPIGWA NA KUONDOLEWA MADARAKANI
Ndugu WanaJF, kumekuwa na ubishani mwingi wa viongozi wa Kiafrika, Waafrika wa kawaida, na wana jamii wa Kiislam kuwa kumuondoa Gadaffi ni uonevu, kuchukia Uislam na kuleta ukoloni mamboleo Afrika. Mimi ninao kuna sababu 13 za Gadaffi kupigwa na kuondolewa madarakani.
1. Gadaffi ndiye aliyeilipua ndege ya PANAM kule Lockerby Scotland mwaka 1986 hivyo ndiye gaidi mkongwe zaidi ya Osama.
2. Gadaffi alimtoa Al Magrahi yule gaidi mwenza kifungoni kwa kisingizio kuwa angekufa kwa kansa baada ya muda mfupi (wiki 3?). Mpaka leo bado anaishi.
3. Gadaffi alimsaidia Iddi Amin wa Uganda kuipiga Tanzania kwenye vita ya Kagera mwaka 1979. Askari wake walikamatwa mateka. Vita ile ndiyo aliyolimaliza Taifa la Tanzania na kutufikisha hapa tulipo.
4. Anasemekana kuwa mfadhiri wa ugaidi wa Wapelestina huko Islael na Gaza.
5. Amekuwa akifadhili ujenzi wa misikiti Afrika nzima badala ya maendeleo ya jamii. Kujenga misikiti siyo vibaya ila hilo siyo jumuku la mwanasiasa ni la kiongozi wa kidini.
6. [C...hizo ni 7bu zilizo wazi, muhimu ni mabadiliko
apondweeeee kabisa !!![/QUOTE
?????????????????????????????????
???? Kwa dhambi gani aliyoifanya yeye na Bush nani alistahili kupigwa naomba tuwe realistic na wakweli wa nafsi zetu