The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Sasa sijui unataka kila anayetaka habari za yanayoendelea aende physically Libya, Yemen, Ivory Coast, Misri, Tunisia, Bahrain, Syria, UK, France, US, Europe, Germany, Russia, Japan, n.k kufanya uchunguzi?! This is so ridiculous!!!

...thinking on that capacity? indeed, it is ridiculous!
Media wanapo feed information lengo lao nawe u digest.
Akili ni mwamvuli. "Usipoukunjua na kuutumia utarowana!."
Si kila unalosikia kwenye media, nawe unalikubali.
Think,...

For every story, there is another side of it.
Chukulia Weapons of Mass Destructions za Saadam Hussein.
Tuliambiwa anaweza zilipua within 45mins...
Dunia ikatishika, sababu Western intelligence wamesema!

Can you recall the 1st lesson you learned in your life?
I hope hutaniambia Mwalimu ndivyo alivyokufundisha!
Wisdom is a self discovery journey, No one can give you wisdom.
 
Ukweli ni kwamba, mataifa ya magharibi yana nguvu sana.. Wanaweza wakafanya chochote wanachotaka.. Nani kakwambia kua Gaddafi angewachinja??? Tuwe objective kidogo... Mie nikitaka kukuvamia, unadhani nina haja ya kueleza umma kwamba we ni mtu mwema? Hapana! Lazima nikupake kwanza ili uonekane mbaya, na mie nipate sababu ya kukuvamia.. Hivi kama Gaddhafi hawapendi watu wake, je? Unatambua mambo aliyoyafanya kwa wananchi wake?? Tusikae na kusikiliza BBC na CNN tu, sikilizeni pia na RT, CCTV na media zingine ili mlinganishe mambo na ndio m-judge.. Aljezeera iko nchi gani? Je, uhusiano wa nchi hiyo na US ukoje?? Al jeezera ya sasa si ile ya zamani..

Gaddafi kajitahidi sana kuiletea maendeleo Libya.. We unadhani kupandisha literate rate kutoka 10% mpaka 90% ni mchezo.. Unadhani ni rahisi kupata maji jangwani.. Unafahamu kuwa Libya hainyonywi na mabeberu kama hapa kwetu Tanzania?? Gaddafi alipoingia madarakani aliingia na sera ambayo ilikua mwiba mkali kwa wawekezaji wa nje..

Aliingia na sera ya "All Libyan resources by Libyans and for the Libyans" ... Sasa hii ndo inayomfanya aonekane mbaya mataifa ya magharibi.. Hivi hebu jaribu kuangalia, Demonstrators gani wana silaha nzito?? Wamezitoa wapi??

Ungefatilia historia ya RothChild na Jesuits ungeweza kupata picha ni nani hasa wenye nguvu hapa duniani.. Tusidanganyane, haki haipo hapa duniani.. Kama UN ambayo tunategemea tungekimbilia inafanya uvamizi wa aina hii, tutakimbilia wapi? Mi nawashangaa sana wanaoshangilia US, France, Britain nk kuivamia Libya.. Hivi toka lini haya mataifa yanawapenda waafrica?? Tunachekesha kweli!! Inabidi tukae tutafakari...
Hapo umesema !.
Nionavyo mimi akina France wamejitafutia balaa lao tu.Hawatoweza kuhimili mambo ya vita.Wale rebels ni watu wapuuzi na wa kukurupuka.Hapo baadae watakapoelewa kilichotendeka dhidi ya nchi yao wanaweza kuwageukia akina France kama kinyonga.
Wanaodhania US imeshinda Iraq na Afghanistan wanajidanganya.Na hilo ni taifa babe zaidi,itakuwa akina France ambao huko kwao hakwishi migomo na maandamano kutokana na umasikini.
 
slide_18772_258637_splash.jpg

slide_18772_258639_splash.jpg

slide_18772_258872_splash.jpg

slide_18772_258875_splash.jpg

Nonda, sasa kama Russia hawakuona hizo ndege kwa nini hawakuveto iyo resolution instead wakaishia kutoka?

Kama namuelewa Obama, bombing haitosimama mpaka Gaddafi atoke madarakani.
 
Hizi picha ni za majeshi ya serikali ya Libya yakiwa Misrata.
Huyu jamaa anaonekana kama kapotea.
800xil.jpg

800xq.jpg
 
Nonda, sasa kama Russia hawakuona hizo ndege kwa nini hawakuveto iyo resolution instead wakaishia kutoka?

Kama namuelewa Obama, bombing haitosimama mpaka Gaddafi atoke madarakani.

Warussia ni propaganda tuu hakuna. Its well known they are good friend of Gaddafi
 
Flying over Libya is the Commando Solo, the Air Force's special operations aircraft. It's capable of hijacking radio and TV frequencies to disrupt enemy communications and broadcast the messaging that the U.S. wants. Last week, it informed Libyan naval officers that if they left port to challenge the American, French and Italian ships floating nearby, they'd be destroyed. Check out this video.

Last edited by a moderator:
Ukweli ni kwamba, mataifa ya magharibi yana nguvu sana.. Wanaweza wakafanya chochote wanachotaka.. Nani kakwambia kua Gaddafi angewachinja??? Tuwe objective kidogo... Mie nikitaka kukuvamia, unadhani nina haja ya kueleza umma kwamba we ni mtu mwema? Hapana! Lazima nikupake kwanza ili uonekane mbaya, na mie nipate sababu ya kukuvamia.. Hivi kama Gaddhafi hawapendi watu wake, je? Unatambua mambo aliyoyafanya kwa wananchi wake?? Tusikae na kusikiliza BBC na CNN tu, sikilizeni pia na RT, CCTV na media zingine ili mlinganishe mambo na ndio m-judge.. Aljezeera iko nchi gani? Je, uhusiano wa nchi hiyo na US ukoje?? Al jeezera ya sasa si ile ya zamani..

Gaddafi kajitahidi sana kuiletea maendeleo Libya.. We unadhani kupandisha literate rate kutoka 10% mpaka 90% ni mchezo.. Unadhani ni rahisi kupata maji jangwani.. Unafahamu kuwa Libya hainyonywi na mabeberu kama hapa kwetu Tanzania?? Gaddafi alipoingia madarakani aliingia na sera ambayo ilikua mwiba mkali kwa wawekezaji wa nje..

Aliingia na sera ya "All Libyan resources by Libyans and for the Libyans" ... Sasa hii ndo inayomfanya aonekane mbaya mataifa ya magharibi.. Hivi hebu jaribu kuangalia, Demonstrators gani wana silaha nzito?? Wamezitoa wapi??

Ungefatilia historia ya RothChild na Jesuits ungeweza kupata picha ni nani hasa wenye nguvu hapa duniani.. Tusidanganyane, haki haipo hapa duniani.. Kama UN ambayo tunategemea tungekimbilia inafanya uvamizi wa aina hii, tutakimbilia wapi? Mi nawashangaa sana wanaoshangilia US, France, Britain nk kuivamia Libya.. Hivi toka lini haya mataifa yanawapenda waafrica?? Tunachekesha kweli!! Inabidi tukae tutafakari...

Eti tusikilize RT na CCTV. Ni sawa na kutuambia tukasilize RTD and TBC. Endelea kukaa na kutakafari. People have moved on, wewe bado umekaa unatakafari. Ndio maana Watanzania tuko nyuma kwa kila kitu. Kisa kukaa na kutakafari without taking any action. Nyie ndio wale mnakaa na kutakafari wakati mafisadi wanakula nchi kiulani. Wake up guys.

Aliingia na sera ya "All Libyan resources by Libyans and for the Libyans". Ni Walibya wangapi wananufaika na hiyo sera? Yaani ni ndugu zake tuu. Angalia watoto wake walivyokuwa wanatesa na hela za mafuta. Angalia pesa walizokuwa wameweka benki za nchi. Angalia property wanazomiliki nje. Ndio All Libyan resources by Libyans and for the Libyans? Miaka 40 hatosheki? Common guys, give me a break. Ina maana hakuna mtu mwingine yoyote anaweza kuiongoza Libya except Gadaffi?

By the way, the Libya are fighting for their freedoms not resources. They want one day to sit on their laptops and express their feeling about their leader. Just like the way you express yourself here at JF. Halafu still unasema they are not entitled to that simply because Gaddafi aliingia na sera ya "All Libyan resources by Libyans and for the Libyans". How about all freedoms for the libyans?
 
Safari njema.. Endelea kuamini kuwa US, France, Britain na mataifa mengine ya magharibi ndio yanayojua demokrasia ya kweli.. Endelea kuamini kuwa wao ni watu wema, na wanawapenda sana waafrika, ingawa kwenye mauaji ya kimbari hawakuonekana.. Endelea kuwaamini maana wanaipenda sana Africa ambayo inazidi kudidimia kila uchao.. Safari njema..
 
Uvamizi wa anga unaofanywa na majeshi ya muungano umeshambulia eneo alipozaliwa Kanali Muammar Gaddafi huko Sirte, eneo muhimu linalolengwa na waasi lililopo upande wa magharibi.

Msemaji wa serikali ya Libya alisema raia watatu wa Libya waliuliwa kwenye bandari ya nchi hiyo.

Uvumi ambao haukuthibitishwa kuwa waasi waliudhibiti mji wa Sirte ulisababisha waasi kufyatua risasi kwa minajil ya kushangilia kwenye mji walioukhodhi wa Benghazi.

Waandishi wa kigeni Sirte walisema walisikia milipuko mikubwa kwenye mji huo huku ndege zikipita angani.

Msemaji wa waasi huko Benghazi alisema Sirte sasa ilikuwa mikononi mwa majeshi ya waasi- lakini hakujakuwa na uthibitisho binafsi kutokana na madai hayo, na waandishi wa habari wa kimataifa ndani ya mji huo walisema bado unadhibitiwa na serikali.

Wakati huo huo, Qatar ni taifa la kwanza la kiarabu kutambua uongozi wa waasi- Baraza la Taifa la Mpito- kama wawakilishi rasmi wa watu wa Libya.

http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/03/110328_libya_sirte.shtml
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom