Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,351
- 11,223
Nato waja na mikakati kabambe ya kijeshi kumshikisha adabu Alhaji Kanali Qadhafi; kwa mtaji wa vyombo vilivyokwishapenyeshwa ndani ya Libya, Mi-Nyambizi kila kona Baharini, mwelekeo wa kuvuruga programme nzima ya mawasiliano ya marubani wa Libya na kugawa jeshi kati kati hadi ikulu ya Tripoli, shirika hili laongeza kwamba pindiwatakapoanza tu zoezi la NO-FLY ZONE LIBYA basi huenda wakahitaji siku chache tu isiozidi wiki moja kumtia nguvuni huyu Desert Rat Qaddafi.
Hii mikakati kwa Ghadhafi tu mwenye mafuta?.Mbona hawana habari na Gbago wa Ivory Coast.
Wameshindwa Iraq,Afghanistan,Pakistan,Somalia.na Libya nako watashindwa.Wataleta vurugu tu na kujivunjia hadhi.Wenye akili timamu wataendelea kupuuza nguvu na hadhi za nchi za Ulaya.Sasa hivi wako kwenye muadhara mkubwa ambao haujapata kutokea.