X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,817
Tatizo ana wafuasi wengi ambao wanamuunga mkono, si raisi kwa Gadafi kuondoka tu ghafla bin fuu.Bado mpaka sasa hakuna credible sources zinazosema kuwa hao ndo wanaowasupport hao rebels-rebels wa libya wanatumia silaha zilizokuwa za jeshi la libya