The power of the Bahima Empire

Kuishi kwa hisia ni jambo la hatari, hoja kama hii ni ya kipumbavu na ndiyo maana unasema ni tetesi! This is a conspiracy theory, kuishi kwenye nguvu za giza, a sorcerer at your best! Nakushauri ujikite kwenye CCM au chama kingine kuliko kufuatilia ya nje usiyoyajua!
Kimeumana
 
Kwenye grey humo kuna ukweli. Nashauri Tanzania ijikite katika masuala yake beinafsi, tujiingize nje pale maslahi yetu yanapoguswa, kuanza kuumiza kichwa kwa sababu ya watu waengine wakati una ya kwako chungu mzima, ni ujinga! Unaweza kupoteza masiha yako pia, kwa sababu watu ambao wameshaumia kwa muda mrefu, hawakawii kukupitia, mmesayasahau ya Mwaikusa, hata kama alikuwa akifanya kazi yake, those guys don't care!
Kuna Proactive, kuna active sasa wewe kwa mtazamo wako ni Post active yaan una kua active baada ya madhara!! This kind of mentality is dangerous and must be prevented from infecting others
 
Kuna Proactive, kuna active sasa wewe kwa mtazamo wako ni Post active yaan una kua active baada ya madhara!! This kind of mentality is dangerous and must be prevented from infecting others

Kwa ushauri tu hawa jamaa wana long plan ya political influence ya kutawala Eneo zima sio wakufumbia macho over
 
jambo hilo si rahisi kwa ulimwengu wa sasa. dunia ilijifunza sana na rwanda genocide, hivyo hakuna nchi itakayokaa kimya tena bila kuingilia kustop another genocide. hao unaowaita wahima, ni wachache sana, hapa east africa uwezo huo hawana. pamoja na kwamba, kusema ukweli, wana kiburi cha ajabu sana, kuanzia kagame hadi m7, ni watu ambao ni wa kuwaogopa, wana kiburi, kisirani na wabaguzi wa chini kwa chini.

kagame kwa sasa sisi watz tumempunguza, unakumbuka kipindi kile cha kuhamasisha east africa federation yeye na m7 walikuwa wanatoa wazo kuwa kenya, uganda, rwanda na burundi zijiunge kuiexclude tz, yaani alishataka kuanza kuvamia gari kwa mbele wakati rwanda ni mgeni kabisa kwenye east africa community, tayari alishafika chumbani wakati kakaribishwa sebuleni. nafikiri rwanda inatakiwa kumpata kiongozi mwingine mhutu, ambaye atakuwa anaiongoza nchi pasipo kinyongo na visirani. atakayeamini katika kusameheana na kuanza maisha mapya...mabifu ya chini kwa chini kama hayo ndo yaliyoleta genocide kipindi kile...kwasababu mtu akionewa kwa muda mrefu, anakuona adui na inaishia kujitoa muhanga kupambana na wewe. ndivyo inayowasubiria m7 na kagame kwasasa.
Mkuu labda utuambie hyo dunia yako imefanya nini tangu mgogoro wa DRC had leo! ? na cost yake -12M people died! Hyo dunia yako ilikua wap??
 
Back
Top Bottom