Kwanini Joseph Oleshangay anadhaniwa kuwa ni an Enemy of the People?

LAZIMA NISEME

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
232
260
Screen Shot 2024-03-12 at 07.18.45.png

Serikali msipomdhibiti JOSEPH OLESHANGAY mapema basi mjue anakwenda kutengeneza kundi hatari la UASI kwa Jamii ya Wamasai hapa nchini.

Naomba niwatahadharishe Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN na Serikali yako kuwa makini sana na kijana niliyemtaja hapo juu.

Siku za hivi karibuni Wakili huyu ambae pia ni Mwanaharakati kwa kushirikiana na Wanaharakati wenzake pamoja na baadhi ya Asasi za Kiraia ambazo zimesajiliwa kufanya kazi katika eneo la Ngorongoro wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuhamishwa kwa Jamii ya Wamasai kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro na kwenda katika Kijiji cha Msomera kwa madai kuwa wananyanyaswa na kuangamizwa.

Katika uchunguzi wangu hivi karibuni Bw. Joseph Oleshangay amekuwa akiwaandaa kisaikolojia baadhi ya watu kupitia akaunti yake ya mtandao wa Kijamii ya 'X' Kwamba wanataka kuwa na Taifa huru la Wamasai yaani MAASAI LAND ili wajitawale na kuwa na Serikali yao kama ilivyo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitu ambacho ni UASI wa moja kwa moja.
cropped-Screenshot-2023-04-22-at-17.28.33.png

Na kibaya zaidi jambo hilo linapewa nguvu na Asasi 3 hapa nchini ikiwemo anayofanyia kazi LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE (LHRC), The Pastoralists Indigenous Non Governmental Organization's Forum (PINGO's Forum) na Pastoral Women's Council (PWC) wakishirikiana Susanna Nordlund (Mwanaharakati) Kwa pamoja wanawachochea Jamii ya Wamasai wadai ardhi ya Maasai ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
pingoslogo.png

Na katika kuhakikisha hili linafanikiwa, Tayari Bw. JOSEPH OLESHANGAY ameandaliwa siku ya tarehe 16/03/2024 aapishwe kuwa LAIGWANAN wa Jamii hiyo ili aweze kuwa na nguvu ya Kimila na kuweza kusikilizwa kwa Mataifa ya Ulaya ambayo yamekuwa mstari wa mbele kumpa nafasi ya kumsikiliza juu kwa madai ya kuwa jamii yake inanyanyaswa na Serikali ya Tanzania.

mini_magick20190126-6717-1lh91zm.png

Na hivi sasa ninavyoandika makala hii tayari kuna wageni kutoka mataifa ya Ulaya na Marekani wapo njiani kuja kushuhudia kusimikwa kwa Bw. Joseph kuwa kiongozi wa kimila ili wakamilishe azma yao ya kutaka jamii hiyo kuanzisha Nchi yao kwa kwani wao pia wamekuwa sehemu ya kudhamini zoezi hilo kupitia Asasi nilizozitaja hapo juu.

Wito wangu kwa Serikali ya Dkt. SSH na Wasaidizi wake, wasipolidhibiti mapema jambo hili bila kutarajia Bw. Joseph Ole Shangay anakwenda kutengeneza Waasi ndani ya jamii ya Wamasai na kundi hilo linaweza kuwa hatarishi kuliko makundi mengine ya uasi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
_125373536_p0cdl6zt.jpg

Nitoe wito kwa Mamlaka husika kuhoji uhalali wa shughuli zinazofanywa na Asasi ya PINGOS, PWC, THRDC, na LHRC ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro na tena baada ya kuona Wamasai hao wanaohama kwa hiyari kwenda Msomera hizo Asasi zimejiongeza kwenda kusajili ili kufanya shughuli zao katika eneo la Msomera hii yote ni kuendelea kuwa karibu na Jamii hiyo ili waweze kuwashawishi wadai kuwa na ARDHI YA MAASAI ndani ya nchi ya Tanzania.

GISwrGTXgAA_j32.jpg

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Attachments

  • 157545301_2894374974119405_152827367225754775_n.jpg
    157545301_2894374974119405_152827367225754775_n.jpg
    45.8 KB · Views: 4
  • mini_magick20190126-6717-1lh91zm.png
    mini_magick20190126-6717-1lh91zm.png
    95.5 KB · Views: 3
Kila kabila liwe na nchi yao. Afrika mfumo wa nchi tuliubaka. Hebu angalia kiongozi anavyoweza kuchukua raslimali za mkoa mwingine akaenda kujinufaisha mwenyewe. Mkapa alichukuaga mtambo wa kufulia umeme huko musoma ulioachwa na wajeruma akaupeleka kwao mtwara.

Ila huu mfumo wa serikali sijui Ni Nani aliyeunzisha yaani mtu mmoja anakuwa na maamuzi ya watu wengi yaani utadhani anawajua wote wanayotaka jamani. Wabunge wenyewe wanamsikiliza yeye huyo mtu mmoja.
Damu itamwagika Kama Hakuna usawa na jamiii moja kuonewa kwani Rwanda waliuanaje
 
Thubuutu! Hapa ni Tanzania na tuna umoja wa ajabu sana ambao hata mataifa ya nje wanatushangaa kwamba nchi kubwa hivi yenye makabila zaidi ya 120 bado tunaelewana na mtanzania yeyote anaweza kuishi popote anapotaka ndani ya nchi hii bila bughdha yoyote. Ni baraka za kipekee tumejaliwa na aliyetuumba na kutuweka hapa Tz.
Huyo anayedhani anawaunganisha Maasai eti waliamshe kudai ardhi; mhhh. sidhani kama atafika mbali. Subiri tutaona.
Hakuna cha kumwagika damu hapa. Ukijitutumua au ukijikweza utashushwa au utadhiliwa. Take my words.
 
Mwinyi alikosea kuuzia waarabu aridhi

Samia anarudia makosa yaleyale

Muda utafika wamasai watadai haki yao km serkali hauwatendei haki
Kwani mkuu; wewe hapo unapoishi kwa sasa ndipo ulipozaliwa na kukulia? Tukiendekeza Umimi tutajikuta tumegawanyika na hapo itakuwa shida kubwa e.g. Hao waliohamishwa/waliohama nao wataanza kudai simba,tembo,twiga,nyumbu n.k. i.e. wanyama pori nao wapelekwe huko walikohamia ili hao Maasai wajione kama bado wapo Ngorongoro/Loliondo.
Hapana aisee. Tudumishe umoja either uwe ni mmasai, mtindiga, mpare, mrangi, mchaga n.k. ishi pale unapotaka alimradi ufuate Taratibu zinazokubaliwa.
Ni zipi ndo ni Haki pekee za Wamasai tofauti na watu/makabila mengine au watu wengine? Tafakari mkuu.
 
Umecoment upumbavu sana

Wewe ni mtanzania?

Unaunga mkono mwarabu kuuziwa kipande cha nchi?

Mkuu, sielewi una kiwango gani cha uelewa. Labda hii hali niifananishe na nyumba ya kupanga. Mtu-Mpangaji wa nyumba na amelipia tuseme kwa miezi 3. Maana yake hiyo nyumba ni yake( inamilikiwa na yeye)kwa kipindi hicho cha miezi mitatu. Baada ya hapo umiliki utakuwa umefikia ukomo na nyumba inabaki kuwa ni ya Tajiri aliyeijenga, na mambaye pia ndiye mwenye hati ya kiwanja. Hiyo inaitwa Mkataba wa Pango. Je utasema mwenye nyumba ameiuza nyumba yake au utasema ameikodisha nyumba?
Halafu hivi hujiulizi itakuwaje kipande cha nchi kiuzwe ilhali tunajua kisheria Ardhi yote ya Tz ni mali ya JMT? Hata mtz mwenye ka-eneo fulani e.g. shamba, Ardhi hiyo ni amedhaminiwa tu. Siku isiyo na jina Waziri mwenye dhamana anaweza akafanya badiliko la matumizi ya ardhi hiyo.
Sasa kama huo ni upumbavu nakubaliana na wewe.
Watakuja kukupa mwongozo.
 
Jifunze kwanza kuandika

@iyedori anadai kuwa tuna umoja wa kuuza raslimali za nchi zetu kwa manufaa ya wachache. Miktaba ovyo inasainiwa eti huo Ni umoja wa makabila 120
Mwinyi alikosea kuuzia waarabu aridhi

Samia anarudia makosa yaleyale

Muda utafika wamasai watadai haki yao km serkali hauwatendei haki
 
Ndomana huko Haiti raia wameamua kugawana nchi
Watawale wenyewe kivyao 😄

Ova
 
View attachment 2932647
Serikali msipomdhibiti JOSEPH OLESHANGAY mapema basi mjue anakwenda kutengeneza kundi hatari la UASI kwa Jamii ya Wamasai hapa nchini.

Naomba niwatahadharishe Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN na Serikali yako kuwa makini sana na kijana niliyemtaja hapo juu.

Siku za hivi karibuni Wakili huyu ambae pia ni Mwanaharakati kwa kushirikiana na Wanaharakati wenzake pamoja na baadhi ya Asasi za Kiraia ambazo zimesajiliwa kufanya kazi katika eneo la Ngorongoro wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuhamishwa kwa Jamii ya Wamasai kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro na kwenda katika Kijiji cha Msomera kwa madai kuwa wananyanyaswa na kuangamizwa.

Katika uchunguzi wangu hivi karibuni Bw. Joseph Oleshangay amekuwa akiwaandaa kisaikolojia baadhi ya watu kupitia akaunti yake ya mtandao wa Kijamii ya 'X' Kwamba wanataka kuwa na Taifa huru la Wamasai yaani MAASAI LAND ili wajitawale na kuwa na Serikali yao kama ilivyo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitu ambacho ni UASI wa moja kwa moja.
View attachment 2932628
Na kibaya zaidi jambo hilo linapewa nguvu na Asasi 3 hapa nchini ikiwemo anayofanyia kazi LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE (LHRC), The Pastoralists Indigenous Non Governmental Organization's Forum (PINGO's Forum) na Pastoral Women's Council (PWC) wakishirikiana Susanna Nordlund (Mwanaharakati) Kwa pamoja wanawachochea Jamii ya Wamasai wadai ardhi ya Maasai ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 2932632
Na katika kuhakikisha hili linafanikiwa, Tayari Bw. JOSEPH OLESHANGAY ameandaliwa siku ya tarehe 16/03/2024 aapishwe kuwa LAIGWANAN wa Jamii hiyo ili aweze kuwa na nguvu ya Kimila na kuweza kusikilizwa kwa Mataifa ya Ulaya ambayo yamekuwa mstari wa mbele kumpa nafasi ya kumsikiliza juu kwa madai ya kuwa jamii yake inanyanyaswa na Serikali ya Tanzania.

View attachment 2932645
Na hivi sasa ninavyoandika makala hii tayari kuna wageni kutoka mataifa ya Ulaya na Marekani wapo njiani kuja kushuhudia kusimikwa kwa Bw. Joseph kuwa kiongozi wa kimila ili wakamilishe azma yao ya kutaka jamii hiyo kuanzisha Nchi yao kwa kwani wao pia wamekuwa sehemu ya kudhamini zoezi hilo kupitia Asasi nilizozitaja hapo juu.

Wito wangu kwa Serikali ya Dkt. SSH na Wasaidizi wake, wasipolidhibiti mapema jambo hili bila kutarajia Bw. Joseph Ole Shangay anakwenda kutengeneza Waasi ndani ya jamii ya Wamasai na kundi hilo linaweza kuwa hatarishi kuliko makundi mengine ya uasi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
View attachment 2932629
Nitoe wito kwa Mamlaka husika kuhoji uhalali wa shughuli zinazofanywa na Asasi ya PINGOS, PWC, THRDC, na LHRC ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro na tena baada ya kuona Wamasai hao wanaohama kwa hiyari kwenda Msomera hizo Asasi zimejiongeza kwenda kusajili ili kufanya shughuli zao katika eneo la Msomera hii yote ni kuendelea kuwa karibu na Jamii hiyo ili waweze kuwashawishi wadai kuwa na ARDHI YA MAASAI ndani ya nchi ya Tanzania.

View attachment 2932646
Mungu Ibariki Tanzania!
Wewe jamaa punguani kweli

Yaani wewe unaona ni sawasawa liserikali kuwanyang'anya watu ardhi yao bila ridhaa yao ni sawa?

Yaani unaona uonevu wa serikali kwa wamasai ni sawa?

Punguani nyie

Mjiandae kisaikolojia kabisa.....rudisheni mali ya watu wapumbavu nyie
 
@iyedori anadai kuwa tuna umoja wa kuuza raslimali za nchi zetu kwa manufaa ya wachache. Miktaba ovyo inasainiwa eti huo Ni umoja wa makabila 120
Mhhh! Mkuu, mbona unanipakazia?. Ni wapi nimetamka hayo?? Naomba uninukuu ni mahali gani nimesema hivyo.
 
Mleta mada hakuna wa kuitingisha serikali ya Tanzania chini ya CCM. Huyo uliyemwandika pamoja na wanaomchochea hakuna wanaloweza fanya. Ninachoona hapa ni wewe kuwa chawa wa mgombea mwingine wa ulaingwanan. Siku za karibuni kumekuwa na vita ya kuwania ULAIGWANAN kwahiyo uzi kama huu wako ni sehemu tu ya mashambulizi kwa huyo jamaa anayetaka hiyo nafasi.
 
Thubuutu! Hapa ni Tanzania na tuna umoja wa ajabu sana ambao hata mataifa ya nje wanatushangaa kwamba nchi kubwa hivi yenye makabila zaidi ya 120 bado tunaelewana na mtanzania yeyote anaweza kuishi popote anapotaka ndani ya nchi hii bila bughdha yoyote. Ni baraka za kipekee tumejaliwa na aliyetuumba na kutuweka hapa Tz.
Huyo anayedhani anawaunganisha Maasai eti waliamshe kudai ardhi; mhhh. sidhani kama atafika mbali. Subiri tutaona.
Hakuna cha kumwagika damu hapa. Ukijitutumua au ukijikweza utashushwa au utadhiliwa. Take my words.
Huu hapa umoja uliongea kuwa tunao wa kuuza raslimali zetuz,tunasaini miktaba ya ovyo mno mpaka wazungu wanatushangaa.
Umoja wa kula ama kutumia ivyo Kodi za maisha ya watanzania wanakufa wakikosa huduma muhimu za hospital, road mbaya ,na saivi kitita kimepunguzwa si ndio umoja unaongelea hapa ama unaongea umoja gani labda wa watu kuwa mazuzu Kama hawataki wahamie Burundi.
Haya bana Kuna mktaba hapa tumesaini wa kukodi software tokea India ya kufuatilia umeme kukatika kwa bilioni 75 Tzs huku Kuna dispensary huko kijijini haina daawa muhimu. Na mwalimu wa fizikia na maths wapo wawili shule yenye watoto 2000 , Naona mkuu mnao umoja wa kutosha..watoto wanakaa chini Hakuna madawati na ilhali mnayo miti ya kutosha lazima wazungu wawashangae kwa uwingi wa makabila 150 wote wajinga mmeshindwa kuchonga madawati tu watt wenu wakalie ,Kuna madarasa ya udongo.na huku mnamiliki dhahabu ardhini na ardhi ya kilimo mnayo
 
Duh! Mkuu, Umeelewa ndivyo sivyo. Nilisema Tz tuna makabila zaidi ya 120 lakini bado tupo wamoja, tunaelewana na hatubaguani. Mtanzania yeyote anaweza kuishi popote ilimradi afuate Taratibu. Sikusema eti tuna umoja wa kuuza ardhi. Hata hivyo mkuu usipotoshe watu kwa makusudi. HAKUNA ARDHI YA TANZANIA ILIYOUZWA. Kama ipo , thibitisha. Elewa vizuri tofauti iliyopo kati ya Kukodi na kuuza/kununua - mbona ni vitu viwili tofauti kabisa? Je, unapata faida gani kwa kuupotosha Ukweli na kusambaza habari potofu kama hiyo? Ardhi gani iliyouzwa na kwa shilingi/dola ngapi? Utupatie na risiti iliyotolewa kuthibitisha mauzo hayo.
 
Back
Top Bottom