TFF na Bodi ya Ligi, kesho Yanga isipoleta timu uwanjani fuateni sheria

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake .

Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni msumari iporomosheni daraja iyo club na kuibokora points zake.

MSIWADEKEZEE watajiona wao ni SPECIAL
 
Wewe nawe acha mambo ya stori za kijiweni. Kwani ratiba ya Simba imeanza kutolewa juzi ama Jana mpaka Yanga wajiandae na mechi kisha wapande na ndege kwenda kufuata Namungo kisha waende kugomea mechi
 
Hivi unajua bila yanga simba haipo. Halikadhalika bila simba yanga haipo

Wahenga tu ndo watanielewa
Huyo mleta mada bado hajakomaa kiakili.. Kwanza unconfirmed information anatuletea za nini..
Si asubiri ziwe confirmed ndo utuletee..!!
 
Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake .

Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni msumari iporomosheni daraja iyo club na kuibokora points zake.

MSIWADEKEZEE watajiona wao ni SPECIAL
Hakuna tff yenye uwezo wa kuishusha Yanga au Simba daraja . Hakuna
 
Mbona dsm waligoma si walijiandaa na mechi na wakachoma mafuta
Walijiandaa kwa mechi na hawakugoma bali walishinikiza sheria na kanuni zifuatwe. Hivyo wao walikuwa tayari kwa mechi ya saa kumi na moja na ndio maana wakaleta timu muda uliopangwa tokea awali
 
Pumbavu kabisa wale, kwan hawakupokea taarifa za mabadiliko ya muda wa mchezo
 
Hivi unajua bila yanga simba haipo. Halikadhalika bila simba yanga haipo

Wahenga tu ndo watanielewa

Kwa sasa sio kweli simba haitegemei uwepo wa yanga
Fuatilia mpira vizuri
 
Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake .

Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni msumari iporomosheni daraja iyo club na kuibokora points zake.

MSIWADEKEZEE watajiona wao ni SPECIAL
Yanga Ni brand kubwa kuliko TFF, BMT na Wizara ya Michezo
 
Yanga Ni brand kubwa kuliko TFF, B T na Wizara ya Michezo
Kama Juventus iliporomoshwa kule seria A, basi leo msipeleke timu ili na sisi Tanzania tuweke historia ya kwa mara ya kwanza kuporomosha timu daraja na kuibokora points
 
Back
Top Bottom