Tujikumbushe: Bifu la Yanga na TFF lilianzia hapa

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,774
24,209
TFF haina bifu na Yanga kama inavyosemekana but inasimamia Sheria strictly Kwa Yanga kuliko timu nyingine ,.......unajua kwanini Kwa sababu yanga mwaka 2021 waliwagomea TFF kubadilisha muda wamechi na Simba wakitaka Sheria zifuatwe

Jikumbushe hapa 8 may 2021

"Muda mfupi baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kusogeza mbele mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni na kutakiwa kuanza saa 1 usiku, Klabu ya Yanga imegomea uamuzi huo
Kupitia taarifa iliyotoa timu hiyo kwa umma imesema kuwa wao watapeleka timu uwanjani saa 11 jioni kama ilivyokuwa awali na kuitaka Bodi ya Ligi kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni ambazo zinawataka kubadili ratiba saa 24 kabla ya mchezo"

Ikumbukwe TFF ni kama mzazi so Kuna vitu hata mtoto ukikosea ....anafunika kombe So Baada ya kuona mtoto anataka sheria zifuatwe.....ndicho kinachofanywa...zile fairness Kwa Yanga ni empty

Kuna mdau humu jf Tate Mkuu alitoa alert kuwa Kwa hili .....Yanga tujiandae kukamiwa......but naona that's what happening right now
yanga.jpg
 
TFF ya Wallace inajitahidi sana kuihujumu timu ya Yanga, huku ikiibeba timu ya simba pasipo hata na chembe ya aibu. Ila mwisho wa siku hakuna wanachoambulia, zaidi tu fedheha. Maana Yanga inazidi tu kusonga mbele.

Tangu huyu jamaa anayeitwa Wallace Karia aingie madarakani, amekuwa akionesha waziwazi chuki zake za kipuuzi dhidi ya Yanga kupitia TFF yenyewe na pia ile Bodi ya Ligi iliyojaa vibaraka wake.
 
Malalamiko FC mmeanza...

Mnataka mnyenyekewe kama wanawake,Mmeonewa wapi?na CAF pia wanawaonea?
 
TFF ya Wallace inajitahidi sana kuihujumu timu ya Yanga, huku ikiibeba timu ya simba pasipo hata na chembe ya aibu. Ila mwisho wa siku hakuna wanachoambulia, zaidi tu fedheha. Maana Yanga inazidi tu kusonga mbele.

Tangu huyu jamaa anayeitwa Wallace Karia aingie madarakani, amekuwa akionesha waziwazi chuki zake za kipuuzi dhidi ya Yanga kupitia TFF yenyewe na pia ile Bodi ya Ligi iliyojaa vibaraka wake.
Malalamiko FC mmeanza...

Mnataka mnyenyekewe kama wanawake,Mmeonewa wapi?na CAF pia wanawaonea?upuuzi wakupuuzwa...
Lucy Eimer ana hoja asikilizwe
 
TFF ya Wallace inajitahidi sana kuihujumu timu ya Yanga, huku ikiibeba timu ya simba pasipo hata na chembe ya aibu. Ila mwisho wa siku hakuna wanachoambulia, zaidi tu fedheha. Maana Yanga inazidi tu kusonga mbele.

Tangu huyu jamaa anayeitwa Wallace Karia aingie madarakani, amekuwa akionesha waziwazi chuki zake za kipuuzi dhidi ya Yanga kupitia TFF yenyewe na pia ile Bodi ya Ligi iliyojaa vibaraka wake.
Kile kitendo Cha kugomea mechi ....kiliwaudhi sana TFF
 
TFF ya Wallace inajitahidi sana kuihujumu timu ya Yanga, huku ikiibeba timu ya simba pasipo hata na chembe ya aibu. Ila mwisho wa siku hakuna wanachoambulia, zaidi tu fedheha. Maana Yanga inazidi tu kusonga mbele.

Tangu huyu jamaa anayeitwa Wallace Karia aingie madarakani, amekuwa akionesha waziwazi chuki zake za kipuuzi dhidi ya Yanga kupitia TFF yenyewe na pia ile Bodi ya Ligi iliyojaa vibaraka wake.
No comment
IMG-20231118-WA0032.jpg
 
Km malinzi vile alivyokua anaihujumu Simba na kutamka wazi ktk utawala wake Yanga itakua bingwa na Simba isahau kabisaa.

Kaishia kutupwa jelaa huko,
 
Uko sahihi. Jamal Malinzi ndiyo alikuwa muasisi wa huu upuuzi. Enzi za uongozi wake simba kuna wakati walikuwa wanalalamika. Na Wallace Karia ameamua kuundeleza.

Na ndiyo maana natamani kuona TFF inarudi mikononi mwa wenye mpira wao kama kipindi cha Leodgar Tenga. Haya malalamiko kuiumiza timu fulani, na huku timu nyingine ikibebwa; sikuwahi kuyasikia.
 
Umeandika ujinga tu hapa. Ushukuru hata nimekujibu. Maana nilitakiwa kukupuuza tu.
Kama ilivyo ada..
NYANI HAONI KUNDULE

utopolo ulioumwaga hapo huwezi uona ukiwa ndani ya utopolo wenyewe,yakupasa utoke nje ndio utauona vema,
Ukiwa ndani ya msitu utaona miti tuuuu
 
Ulitakiwa ku declare interest kwanza kama wewe ni sehemu ya wanufaika wa huu uhuni unaofanywa na Wallace Karia, pamoja na Bodi yake ya Ligi dhidi ya klabu ya Yanga.
 
Uko sahihi. Jamal Malinzi ndiyo alikuwa muasisi wa huu upuuzi. Enzi za uongozi wake simba kuna wakati walikuwa wanalalamika. Na Wallace Karia ameamua kuundeleza.

Na ndiyo maana natamani kuona TFF inarudi mikononi mwa wenye mpira wao kama kipindi cha Leodgar Tenga. Haya malalamiko kuiumiza timu fulani, na huku timu nyingine ikibebwa; sikuwahi kuyasikia.
Sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom