Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,131
Sample ya kadi hizo tuzipate.Kwani sasa hivi wazalendo wengi ndani ya ikulu watuletee tafadhali
Kwanza mtu akiipta piga picha alafu inyanyue itundike hapa JF kwa hatua zaidi!!
Sample ya kadi hizo tuzipate.Kwani sasa hivi wazalendo wengi ndani ya ikulu watuletee tafadhali
Funga domo lako mpumbavu wewe...Duh! Haya makubwa. Ina maana jamaa anajiandaa kutawala kwa mabavu wakati wapiga kura wengi zaidi watamkataa Oktoba 31?
Kuna wakati mwingine mimi huwa nashangaa kweli. Hivi kweli nyie watu wa CHADEMA seriously mnadhani kuwa SLAA atashinda? JK atashinda kwa kati ya ASILIMIA 77 NA 87 ya kura zitakazopigwa. Huu ndio ukweli. Maneno ya mitaani tuachane nayo. JK atashinda na CCM kwa ujumla itashinda sio kwa wizi wa kura bali kwa kukubaliwa na wananchi. SLAA atapata below 20% akifuatiwa na Prof. Lipumba. Sasa nyie wenye ndoto za SLAA kutwaa urais kaeni hivyo hivyo na muendelee na ndoto hizo. Mabadiliko hayaji kwa porojo na matumaini. Mabadiliko yatakuja kwa upinzani kufanya kazi na upinzani wenyewe ubadilike katika mbinu na mikakati. Mkiendelea na kauli za kumwaga damu, IKULU kamwe hamtaiona. Mkiendelea kuvaa magwanda yanu ya khaki na yenye sura ya kijeshi lile jengo jeupe mtalisikia kwenye bomba mpaka milelel.
Upinzani wa kweli katika nchi hii utatoka ndani ya CCM kama Nyerere alivyowahi kusema. Upinzani wa kweli hauwezi kutoka kwa wapiga porojo na wenye uchu wa madaraka na wasiojua hata kuichambua jamii waliyo nayo.
Kwani si Rais yeyote yule anahitaji kuapishwa na sio kwamba ni kawaida Rais akiapishwa kuwe na Marais wa nchi rafiki... hivi mna matatizo gani ninyi?
Upinzani wa kweli katika nchi hii utatoka ndani ya CCM kama Nyerere alivyowahi kusema. Upinzani wa kweli hauwezi kutoka kwa wapiga porojo na wenye uchu wa madaraka na wasiojua hata kuichambua jamii waliyo nayo.
Mimi naupenda mfumo wa Wamarekani. Uchaguzi unafanyika November na rais mpya anaingia mamlakani January. Hii inatoa nafasi tosha ya transition kati ya rais anayemaliza muda wake na yule anayeingia mamlakani. Ila tu ni kwamba rais anayemaliza muda wake hana mamlaka tena ya kufanya maamuzi bila kushauriana na rais mpya. Pia inampa nafasi ya kufungasha virago vyake kutoka White House. Lakini hii ya kutangazwa na kuapishwa siku hiyo hiyo itatuletea shida huko baadaye hasa pale chama tofauti kinaposhinda na rais mpya anaingia mamlakani na maafisa wake wapya kutoka chama chake.Haraka ya nini kwani atakuwa ameiba uongozi!, Tabia hizi ni za Kiafrika zaidi kwani viongozi wengi huwa si chaguo la wananchi, na kwa hofu ya siri kuvuja hukimbilia kuapishwa siku moja au ilele baada ya uchaguzi kama kibaki.
mbona wenzetu hawako hivyo, au katiba yetu inasema rais akisha tumpukiza kura yake kwenye kisanduku anapoteza urais wake hapohapo?
mialiko ya style hii ni ya kushtukiza, na inayotia hasara mataifa husika
Duh! Haya makubwa. Ina maana jamaa anajiandaa kutawala kwa mabavu wakati wapiga kura wengi zaidi watamkataa Oktoba 31?
Kuna wakati mwingine mimi huwa nashangaa kweli. Hivi kweli nyie watu wa CHADEMA seriously mnadhani kuwa SLAA atashinda? JK atashinda kwa kati ya ASILIMIA 77 NA 87 ya kura zitakazopigwa. Huu ndio ukweli. Maneno ya mitaani tuachane nayo. JK atashinda na CCM kwa ujumla itashinda sio kwa wizi wa kura bali kwa kukubaliwa na wananchi. SLAA atapata below 20% akifuatiwa na Prof. Lipumba. Sasa nyie wenye ndoto za SLAA kutwaa urais kaeni hivyo hivyo na muendelee na ndoto hizo. Mabadiliko hayaji kwa porojo na matumaini. Mabadiliko yatakuja kwa upinzani kufanya kazi na upinzani wenyewe ubadilike katika mbinu na mikakati. Mkiendelea na kauli za kumwaga damu, IKULU kamwe hamtaiona. Mkiendelea kuvaa magwanda yanu ya khaki na yenye sura ya kijeshi lile jengo jeupe mtalisikia kwenye bomba mpaka milelel.
Upinzani wa kweli katika nchi hii utatoka ndani ya CCM kama Nyerere alivyowahi kusema. Upinzani wa kweli hauwezi kutoka kwa wapiga porojo na wenye uchu wa madaraka na wasiojua hata kuichambua jamii waliyo nayo.
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.
Pia kuna habari kuwa JK anaandaa some kind of economic summit November 2010 ili naye aonekane kama Kagame vile.
Kwa wale mnaotaka kumwaga damu anzeni za wake zenu,waume zenu,watoto wenu,wazazi wenu ndio mwende kwa watanzania wengine!
Nadhani anapatikana ndani Facebook. Hebu jaribu kusearch huko.Hivi kuna ajuaye email ya OBAMA?..nataka nimwambie kitu juu ya hili!...
Duh! Haya makubwa. Ina maana jamaa anajiandaa kutawala kwa mabavu wakati wapiga kura wengi zaidi watamkataa Oktoba 31?
Kuna wakati mwingine mimi huwa nashangaa kweli. Hivi kweli nyie watu wa CHADEMA seriously mnadhani kuwa SLAA atashinda? JK atashinda kwa kati ya ASILIMIA 77 NA 87 ya kura zitakazopigwa. Huu ndio ukweli. Maneno ya mitaani tuachane nayo. JK atashinda na CCM kwa ujumla itashinda sio kwa wizi wa kura bali kwa kukubaliwa na wananchi. SLAA atapata below 20% akifuatiwa na Prof. Lipumba. Sasa nyie wenye ndoto za SLAA kutwaa urais kaeni hivyo hivyo na muendelee na ndoto hizo. Mabadiliko hayaji kwa porojo na matumaini. Mabadiliko yatakuja kwa upinzani kufanya kazi na upinzani wenyewe ubadilike katika mbinu na mikakati. Mkiendelea na kauli za kumwaga damu, IKULU kamwe hamtaiona. Mkiendelea kuvaa magwanda yanu ya khaki na yenye sura ya kijeshi lile jengo jeupe mtalisikia kwenye bomba mpaka milelel.
Upinzani wa kweli katika nchi hii utatoka ndani ya CCM kama Nyerere alivyowahi kusema. Upinzani wa kweli hauwezi kutoka kwa wapiga porojo na wenye uchu wa madaraka na wasiojua hata kuichambua jamii waliyo nayo.
Wewe inaonekana ni wa enzi za mwalimu ambapo mlikuwa mnaimba sifa za mwenyekiti. Sasa kuna mabadiliko na sio 1954.Duh! Haya makubwa. Ina maana jamaa anajiandaa kutawala kwa mabavu wakati wapiga kura wengi zaidi watamkataa Oktoba 31?