Elections 2010 Tetesi za kutisha

dally

Member
Nov 4, 2009
19
0
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.
 
TETESI Kutoka kwa walinzi wa jamhuri hii ya muungano..waliochoka na maovu ya mkulu (jk) ni kwamba jamaa ameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wake..ambao inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi wanamalizia biashara pale uwanja wa taifa.

Kwa walio ndani zaidi wanaweza kutuchambulia zaidi jamani
Duuuuuuu................. ama kweli hii ni TETESI ya kutisha
 
Kuna wengi sana wanatabiri kutokea kwa machafuko mwaka huu. Yaani tumepata uhuru bila kumwaga damu halafu tunakuja kumwaga damu kwenye chaguzi za ndani? Hii itakuwa ni historia mbaya sana kwa nchi yetu. Na tutaandika historia mbaya sana dhidi ya Kikwete sawasawa na ilivyo ile ya Mwai Kibaki kule Kenya. Eee Mungu tuepushe na haya.
 
Atabaki nazo na familia yake kama kumbukumbu sanduku la kura safari hii halitadanganya Tanzania inarejeshwa mikononi mwa wazalendo.
 
Duh! Haya makubwa. Ina maana jamaa anajiandaa kutawala kwa mabavu wakati wapiga kura wengi zaidi watamkataa Oktoba 31?
 
Kwa wale mnaotaka kumwaga damu anzeni za wake zenu,waume zenu,watoto wenu,wazazi wenu ndio mwende kwa watanzania wengine!
 
ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.

jamani sasa kama anajua rais kwa nini asijiandae anayo haki ndio maana sijamsikia mongela,batilda,mnyika wameandaa barua za mwaliko
 
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.
Hivi kuna ajuaye email ya OBAMA?..nataka nimwambie kitu juu ya hili!...
 
Kama anajua hivyo kampeni anafanya za nini huyu JK... Si angetulia ikulu asubiri kuapishwa japo zipone hela zinazotumika katika kampeni??

Why why whywhywhywhy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:mmph::mmph::mmph:
 
Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.

Waache waendelee kufanya hayo maandalizi ila wakae wakijua kuwa nguvu ya uma ni nguvu ya Mola. Mola akihamua hakuna litakaloshindikana.
 
Kwa wale mnaotaka kumwaga damu anzeni za wake zenu,waume zenu,watoto wenu,wazazi wenu ndio mwende kwa watanzania wengine!

Kama kweli JK anaandaa kadi za mwaliko kabla matokeo hayajatangazwa huoni kama ndiye anayetaka kumwaga damu za watanzania wasio na hatia? Kwa kuwa watanzania si mataahira kama ambavyo CCM na wambea kama wewe wanawadhania naamini hawatakubali upuuzi huu ufanyike mbele ya macho yao.
 
Kwa wale mnaotaka kumwaga damu anzeni za wake zenu,waume zenu,watoto wenu,wazazi wenu ndio mwende kwa watanzania wengine!

Waoga hawatazikwa kwenye makaburi ya mashujaa.

Uoga na hofu yako havikusaidii kitu. Hata hivyo, hautaishi milele. LAZIMA utakufa.

Komboa nchi yako. Acha kujikojolea kwa vitisho vya JWTZ
 
Sample ya kadi hizo tuzipate.Kwani sasa hivi wazalendo wengi ndani ya ikulu watuletee tafadhali
 
Duh! Haya makubwa. Ina maana jamaa anajiandaa kutawala kwa mabavu wakati wapiga kura wengi zaidi watamkataa Oktoba 31?

Kuna wakati mwingine mimi huwa nashangaa kweli. Hivi kweli nyie watu wa CHADEMA seriously mnadhani kuwa SLAA atashinda? JK atashinda kwa kati ya ASILIMIA 77 NA 87 ya kura zitakazopigwa. Huu ndio ukweli. Maneno ya mitaani tuachane nayo. JK atashinda na CCM kwa ujumla itashinda sio kwa wizi wa kura bali kwa kukubaliwa na wananchi. SLAA atapata below 20% akifuatiwa na Prof. Lipumba. Sasa nyie wenye ndoto za SLAA kutwaa urais kaeni hivyo hivyo na muendelee na ndoto hizo. Mabadiliko hayaji kwa porojo na matumaini. Mabadiliko yatakuja kwa upinzani kufanya kazi na upinzani wenyewe ubadilike katika mbinu na mikakati. Mkiendelea na kauli za kumwaga damu, IKULU kamwe hamtaiona. Mkiendelea kuvaa magwanda yanu ya khaki na yenye sura ya kijeshi lile jengo jeupe mtalisikia kwenye bomba mpaka milelel.

Upinzani wa kweli katika nchi hii utatoka ndani ya CCM kama Nyerere alivyowahi kusema. Upinzani wa kweli hauwezi kutoka kwa wapiga porojo na wenye uchu wa madaraka na wasiojua hata kuichambua jamii waliyo nayo.
 
Mwehu akizungumza utamjua tu
 
Waoga hawatazikwa kwenye makaburi ya mashujaa.

Uoga na hofu yako havikusaidii kitu. Hata hivyo, hautaishi milele. LAZIMA utakufa.

Komboa nchi yako. Acha kujikojolea kwa vitisho vya JWTZ

You are Very Right:

"Wining through intimidation is the way used by all corrupted tyrants of this world to rule the fools..."

... simply never give in...
 
Back
Top Bottom