Tetesi Nyumba imeungua Geita.

Ngakayu

Senior Member
Apr 26, 2013
108
19
Nasikia kuna nyumba imeungua Geita mtaa wa Nyankumbu usiku wa leo na watoto 3 kufia kwenye nyumba na mmoja kafia baada ya kufika hospitalini! Mlioko Geita tupeni taarifa.
 
Namimi kuna tetesi nasikia ukumbi wa bunge la posho dodoma linaungua muda huu!
 
Bado tunalifatilia, tuta wa juza tukisha pata ukweri ju ya hilo.

Siyo tetesi. Ni kweli. Nimehudhuria mazishi ya watoto hao jioni hii. Ni watatu, wa familia moja. Dada yao mkubwa amelazwa bugando. Baba na mama wamelazwa geita. Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom