Katika maeneo ya Ilala kuna nyumba imeungua kwa shoti ya umeme

Suhendra

JF-Expert Member
Nov 25, 2023
1,082
2,472
Salamu

Mvua imekuwa kubwa sana katika mji wetu pendwa wa Dar es salaam kuanzia SAA 9 usiku hadi muda huu ambayo imeambatana na radi na upepo mkali,

Katika maeneo ya Ilala kuna nymba imeungua na shoti ya umeme, Ambao ulirudi kwa kasi sana na kusababisha wakazi wa nyumba hiyo kutoka bila nguo.

Tuendelee kuombeana mvua isiwe na madhara.
 
Salamu

Mvua imekuwa kubwa sana katika mji wetu pendwa wa Dar es salaam kuanzia SAA 9usiku hadi muda huu ambayo imeambatana na radi na upepo mkali,

Katika maeneo ya ilala kuna nymba imeunguwa na shoti ya umeme, Ambao ulirudi kwa kasi sana na kusababisha wakazi wa nyumba hiyo kutoka bila nguo.

Eti ulirudi kwa kasi sana, umenifanya nicheke sana
 
Salamu

Mvua imekuwa kubwa sana katika mji wetu pendwa wa Dar es salaam kuanzia SAA 9usiku hadi muda huu ambayo imeambatana na radi na upepo mkali,

Katika maeneo ya ilala kuna nymba imeunguwa na shoti ya umeme, Ambao ulirudi kwa kasi sana na kusababisha wakazi wa nyumba hiyo kutoka bila nguo.

Tuendelee kuombeana mvua isiwe na madhara.
Washukuru mungu walitoka salama. Maana umeme hata sakafuni inatembea sasa ukitoka peku unakutana na mkondo wa umeme
 
Dah, pole yao.. Mungu awafanyie wepesi katika majanga kama haya, na sie wengine atulinde, atukinge na kutuepusha na mitihani kama hii.

Huwa nawaza kibanda chenyewe kimetumia miaka kadhaa kujengwa(na hakijakamilika, ujenzi wa masikini hauishagi/kukamilika) sasa ikitokea ishu ya ghafla kama hiyo inayohitaji mamilioni ya fedha unkuwa mgeni wa nani maisha yenyewe haya tayari yapo upside-down.
 
Salamu

Mvua imekuwa kubwa sana katika mji wetu pendwa wa Dar es salaam kuanzia SAA 9usiku hadi muda huu ambayo imeambatana na radi na upepo mkali,

Katika maeneo ya ilala kuna nymba imeunguwa na shoti ya umeme, Ambao ulirudi kwa kasi sana na kusababisha wakazi wa nyumba hiyo kutoka bila nguo.

Tuendelee kuombeana mvua isiwe na madhara.
Pole yao.
 
Ifike kipindi tuwe tunafanya ukaguzi wa miundombinu ya umeme, hapo unakuta nyumba ilishajifia main switch ipo free kwenye isolator maana miniature zote zilishakufa
Sahihi mkuu hivi vitu ni muhimu aisee ila kuna maeneo mengine kama mkoa wa Kagera hasa Karagwe na Bukoba mjini yaani radi ikipiga main switch sijui circuit breaker inazima lakini bado kama Tv hujachomoa cable ya Tv (Toka kwenye dish) au umechomeka Tv au radio kwenye socket hata kama umezima ukutani, mvua ikikata unawasha radio au Tv unashangaa hamna kitu
 
Sio kwamba ulirudi kwa kasi kwa kuwa umeme hutembea kwa kasi bali ulirejea ukiwa wa kiwango kikubwa na isolators/MCB kutoweza kuhimili kuukata usilete madhara...
Hapa shida inakuwa sio wiring tena na component zingine kama vifaa vilivyotumika? maana TANESCO huwa wanatukataa sana wananchi yakitokea majanga na kukimbilia watu hawafanyi wiring vizuri.

Shida nyingine haijulikani umeme unarudi saa ngapi na hata wakiweka muda hawarudishi Kwa wakati unakuta wanasema utarudi saa 5 usiku alafu wanarudisha saa 7 usiku, unakuta watu wanaacha on security light za nje ili ukirudi kazi ya kuangaza uendelee, otherwise watu wangekuwa wanazima muda wa kurudi ungekuwa unajulikana ndo wanawasha
 
Sahihi mkuu hivi vitu ni muhimu aisee ila kuna maeneo mengine kama mkoa wa Kagera hasa Karagwe na Bukoba mjini yaani radi ikipiga main switch sijui circuit breaker inazima lakini bado kama Tv hujachomoa cable ya Tv (Toka kwenye dish) au umechomeka Tv au radio kwenye socket hata kama umezima ukutani, mvua ikikata unawasha radio au Tv unashangaa hamna kitu
Poleni sana
 
Dah, pole yao.. Mungu awafanyie wepesi katika majanga kama haya, na sie wengine atulinde, atukinge na kutuepusha na mitihani kama hii.

Huwa nawaza kibanda chenyewe kimetumia miaka kadhaa kujengwa(na hakijakamilika, ujenzi wa masikini hauishagi/kukamilika) sasa ikitokea ishu ya ghafla kama hiyo inayohitaji mamilioni ya fedha unkuwa mgeni wa nani maisha yenyewe haya tayari yapo upside-down.
Bwana wee.., Mungu atunusuru kwakweli.
 
Back
Top Bottom