Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,843
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.
 
Mahubiri /mawaidha yake siyo kama ya yule shehe wa Kenya mwenye misimamo mikali ya kigaidi kisha serikali ya Kenya ikamuua?

Maana hapa umeandika hivi;👇

"Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa"

Hii hoja uliyoiandika hapo juu👆 inafanya bandiko lako mtu makini alitilie mashaka juu ya yaliyojiri huko nyuma kabla ya huyo shehe kupotea.

Fafanua zaidi hapo nilipobold mkuu.
 
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.
Tatizo la wasukuma huwa hawajulikani kama Ni waslamu au wakristo
 
hizo harakati za kidini za vijana walio mstari wa mbele apo Geita zimeanza lini, na zina uelekeo gani?

na hao vijana wahusika wa hizo harakati za kidini wanamlenga nani hasa, wa dini gani na wanahitaji nini...
 
Mwambieni aache kuchochea wenzake kwenye mambo yanayochagiza uvunjifu wa amani.

Nchi hii kama wewe haufanyi mambo yale yaliyo kinyume na sheria za nchi, kamwe suala la kutekwa au kuvamiwa na wasiojulikana utalisikia tu kwenye vyombo vya habari.

Mtoa hoja umeonesha dhahiri huyo Imam yuko msitari wa mbele kueneza harakati za kidini, hivyo tungeambiwa na upande wake wa pili, hakika tusingevilaumu vyombo vya dola zaidi ya kuvipongeza.
 
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.
Kwanini wawe mstari wa mbele katika harakati?
 
Ni polisi pekee wanaoweza kufanya hivyo kwa kujiamini...

Serikali ipo bize kushughulikia raia huku ikiwalinda mafisadi kwa mitutu
 
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.

Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.

Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume.

Akiwa njiani aliitwa na watu wawili waliofunika nyuso zao wakiwa wamevaa kiraia na kuzungumza naye,Inasemekana kwa mashuhuda kuwa kulitokea mzozo baina yake na wao Jambo lililopelekea Wafyatue risasi Moja hewani na kisha wakamchukua wakamuweka kwenye gari na kuondoka naye

Zimefanyika Juhudi jana kutwa nzima za kumtafuta kwenye vituo vyote vya polisi lakini hakupatikana na Hajulikani alipo mpaka mda huu.

Pamekuwepo na Wimbi kubwa sana katika mji wa Geita la vijana walio mstari wa mbele katika harakati za dini kutekwa na kupotezwa, ni wakati sasa wa kupaza sauti zetu kama umma wa kiislamu.
mwabuduni Mungu, msihatarishe maisha ya wengine
 
hizo harakati za kidini za vijana walio mstari wa mbele apo Geita zimeanza lini, na zina uelekeo gani?

na hao vijana wahusika wa hizo harakati za kidini wanamlenga nani hasa, wa dini gani na wanahitaji nini...
Hamtutoi relini.
Serikali imuachie Imam. Kama ana makosa apelekwe mahakamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom