- Thread starter
- #61
Kimsingi sijaona hoja ktk thread yako, wala swali unazungumzia habari kuhusu historia ya vitabu vya Musa, vya karibia 1400 BCE? You know better than I, that hakuna details za kuaminika kuthibisha au kurefute manuscripts za kale kiasi hicho..
..
By the way, I did NOT note that you also suffer from ESCAPISM .. Unaelewa fika kuwa sina mtindio, by thinking otherwise portrays your agitated mind..
Karibu..
Ninachukushauri soma kitabu chako
Angalia kuna aya hiii [Matt 5:17] Utajua kwanini nimemuulizia Musa.
Na yanini nikufundishe kama wewe mwenyewe hata bible yako huijui?
Na kama unasema kwamba nitakimbia basi umejidanganya.
Kuna mwenzako hapa nilipoenda likizo akafikiri nimekimbia copy zake.
Halafu unajua ulichoandika hapo juu?
Mimi nipo hapa hapa na usije ukatumaini kwamba nitaondoka. ukiona hakuna post zangu kwa siku moja au wiki basi naenda kula maraha yangu lakini KAMWE SITAKIMBIA MTU KAMA WEWE.