Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,913
- 2,790
Wapeni muda.

.............Nina wasiwasi na hawa Startimes one day they will do the same as GTV,I think you remember this company....went bankrupt slowly but sure....

Hawa jamaa wa startimes leo siwaelewi tangu asubuhi ni no signal ikija signal,hakuna picha,zaid unaona tangazo linapita kwa chini sijui mpira utaonyeshwa kwenye kungfu chanel na balabalabala,hivi naweza kuripoti wapi ujinga huu?na pia ikija picha kuna kitu inaapear non conax program,what the hell is wrong with this king'amuzi?aghrrrrrr,chanell zinazopatkana ni za kichina zaid

tuwasaidie vipi kama hamtaki kuvihama ?
Pole sana dada,KAMA HUWEZ KUNISAIDIA SI UNYAMAZE TU!!!NINA JAZBA AF WE BADALA YA KUNFARIJI UNAGONGELEA MSUMARI
ahhh! TING ndio inaboa kuliko, TING ya walokole tu!Jaribu TING wao wanashare satellite moja na Dstv kwa hiyo unaweza wapata popote pale ulipo ndani ya Tanzania gharama yao ni sh 250000 malipo kwa mwezi zipo akaunti mbili ya 10000 na 22000.