Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF mambo vp?

Nina maswali machache kidogo yananitatiza kutokana na hii teknolojia ya hivi vingamuzi.

Hivi Dstv wao wanatumia teknolojia gani ya digtali au analogia? Kama wanatumia digitali kwa nini hawa startimes na ting na wao wasitumie njia hiyo ili mtu yeyote aliye ndani ya nchi hii apokee mifumo yao kwa njia ya satellite, badala ya mifumo yao hiyo ya kutumia transmita na ndio maana mtakubaliana nami kuna baadhi ya maeneo ya hapa dar picha zao zinakatikakatika. Kwani hizo transimita zao zinarusha mawimbi kwa umbali gani?

Tuingie kwenye teknolojia fulani inayoendana na jiografia ya nchi yetu. Nionavyo mimi wangejipanga wawe wanarusha matangazo yao kupitia kwenye satellite kwa mfano nyuzi 68 mashariki ambapo kama utakuwa unataka MY TV, au STARTIMES au TING utumie dish hilo moja kwa kuchagua mojawapo kati ya hizi sio kuleta teknolojia inayosambaa kwa kufuata miji mikubwa kwani waishio kwenye wilaya wao hawastahili?

Jamani hivyo ndivyo nionavyo mimi wewe unasemaje?
 
Hata mimi naona hivyo hivyo,kwanza mitambo yenyewe nguvu haina kabisa ukikaa bondeni tu haukamati kitu antenna ikiyumba kidogo tu scratching kibao.
 
Wote wanatumia digital transmission kupitia microwave transmission ila kuna aina mbili za microwave transmission ambazo ni satelite and terestrial microwave so star time na ting wao wanatumia terestrial microwave na wanaotumia dish hiyo ni satelite microwave transmission. Sijui umenipata?
 
hiyo kuweka channel za digital kwenye satellite ni gharama wakuu. ni tofauti na hao star times wao wanarusha hivi hivi tu ki analog. wangefanya hivyo bila shaka bei yao pia ingekuwa juu juu zaidi.
 
Zote ni digital.
Kurusha kwa satelite ni gharama zaidi plus inabidi watumiaji wako wanunue dish, gharama kwa mtumiaji.

Bei kubwa ya DSTV probably inatokana na licensing fees za vitu wanavyoonyesha, kurusha michezo inabidi ulipie fees kubwa, kurusha TV shows popular inabidi ulipie fees, movies etc
 
Mimi labda nijulishwe tu kwa nini gharama za Dstv ni kubwa sana?
Mkuu nadhani utakuwa unajua kuwa dstv sio kituo cha kutengeneza vipindi kama televition station zingine
Dstv haiitaji kamera wala watangazaji, inachofanya ni kununua haki ya kurusha matangazo ya television zingine mfano super sports, channel o, amnet nk
na pia kununua haki ya kurusha vipindi mbali mbali kama ophra show,jerry spring nk
matamthilia mbali mbali, movies nk nk
 
Nimenunua decoda ya STARTIMES ni kama nimepoteza hela yangu. Wakati inafanyakazi inagomagoma. Nimewauliza inakuwaje hali hii, wanasema ni antena. Nimebadilisha antena kwa kununua ya kwao, hali ni hiyohiyo. Vipindi vyenyewe havikidhi haja kabisa, kwa ujumla vingi havipendezi.
Wakati huohuo natoa wito kwa mamlaka ya mawasiliano kuhakikisha decoda zote zinakubali kadi za tv zote. Ili mtu anunue decoda moja itayoingiliana na kadi zote kama ilivyo sim kadi za simu na simu zenyewe.
 
Niliawaambia Kuhusu Easy TV humu ndani! Just opt EasyTV... it's best in town
 
heheeee we acha tuu mi yangu karibiaa natupa huko inagomagoma mara zote
channels za hooovyo wanarudiarudia movies
sibuka na kbc1 zinasauti mbili unaona movie af unasikiliza reggae
stupid zao


they are here to stay.
 
yani awa jamaa matapeli kinoma..picha zao muda wote zinakigugumizi,bora kuingia garama kuendelea na dstv
 
nimenunua decoda ya startimes ni kama nimepoteza hela yangu. Wakati inafanyakazi inagomagoma. Nimewauliza inakuwaje hali hii, wanasema ni antena. Nimebadilisha antena kwa kununua ya kwao, hali ni hiyohiyo. Vipindi vyenyewe havikidhi haja kabisa, kwa ujumla vingi havipendezi.
Wakati huohuo natoa wito kwa mamlaka ya mawasiliano kuhakikisha decoda zote zinakubali kadi za tv zote. Ili mtu anunue decoda moja itayoingiliana na kadi zote kama ilivyo sim kadi za simu na simu zenyewe.

wakifanya hivyo mishaharaa watalipwa na nani kaka??
 
CLOUDS TV NA MLIMANI TV KWenye startimes zina quality chaka sana,yani bora uziangalia kwenye Analog Zina HQ,All in all weka antenna ndefu ya nje inashika vizuri tu,kabla ujanunua ungeangalia list of channels wanazo-offer,mie ninayo napeta tu yani freshhhhh...
 
heheeee we acha tuu mi yangu karibiaa natupa huko inagomagoma mara zote
channels za hooovyo wanarudiarudia movies
sibuka na kbc1 zinasauti mbili unaona movie af unasikiliza reggae
stupid zao
We ulitegemea tsh.9000 kwa mwezi uone nini? mambo yote ni DSTV bana....japo wako ghali lakini wanakonga miyoyo yetu
 
Mie natumia king'amuzi[decoder] cha hawa "EASY TV" naona watu wengi hawakijui, ila ni wazuri saaaana. Channel zote za tz zinapatikana, na znz, kenya-KTN, CITIZEN., Uganda-UBC, ALJAZEER,CNN, BBC, CCTV1 & 2, zakidini-christo ipo EMMANUEL ya nigeria na muslim ipo PEACE TV, NA za movie kibao. Gharama ya decoda sh 140,000/- na ada ya mwezi sh 9,000/-simu yao customer care ni- 0658688633. Hamia easy tv.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom