Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Mi natumia ninaweza kusema wako fair.. ila wananiuzi mtindo wao wa kuzitoa mara kwa mara baathi ya channel bila taarifa na kuzirudisha.. hasa discovery channel na nickoledeon... .. pia nawashauri wangetengeneza packages kama dstv na packages iendane na bei .. sio kutulimit na machall ambayo mengi mtu unakuwa huna interest... wanatuwekea michannel ya muziki wa jazzz mwanzo mwisho
 
Hawa jamaa wa startimes leo siwaelewi tangu asubuhi ni no signal ikija signal,hakuna picha,zaid unaona tangazo linapita kwa chini sijui mpira utaonyeshwa kwenye kungfu chanel na balabalabala,hivi naweza kuripoti wapi ujinga huu?na pia ikija picha kuna kitu inaapear non conax program,what the hell is wrong with this king'amuzi?aghrrrrrr,chanell zinazopatkana ni za kichina zaid
 
mi nilishaweka dekoda zao kwenye dustbin maana ni upuuzi mtupu....najilaumu kununua hii takataka......poleni mnaoendelea kuitumia.
 
.............Nina wasiwasi na hawa Startimes one day they will do the same as GTV,I think you remember this company....went bankrupt slowly but sure....
 
<b>.............Nina wasiwasi na hawa Startimes one day they will do the same as GTV,I think you remember this company....went bankrupt slowly but sure....</b>
<br />
<br />
AAAH SASA HAFAI NKAKIRUDISHA NKAPATA HELA YANGU JAPO NUSU?
 
Wenyewe nawajua wasomaji wazuri hapa jamvini wamekauka tu, mwaka 2012 hawavuki na hivi Tido hayupo tusubiri ya GTV
 
Hawa jamaa wa startimes leo siwaelewi tangu asubuhi ni no signal ikija signal,hakuna picha,zaid unaona tangazo linapita kwa chini sijui mpira utaonyeshwa kwenye kungfu chanel na balabalabala,hivi naweza kuripoti wapi ujinga huu?na pia ikija picha kuna kitu inaapear non conax program,what the hell is wrong with this king'amuzi?aghrrrrrr,chanell zinazopatkana ni za kichina zaid
<br />
<br />
tuwasaidie vipi kama hamtaki kuvihama ?
 
Tumia dstv clear channels unaanza kulipia kuanzia 15000/=, star times ni wezi tu, kama Zantel tu
 
Jaribu TING wao wanashare satellite moja na Dstv kwa hiyo unaweza wapata popote pale ulipo ndani ya Tanzania gharama yao ni sh 250000 malipo kwa mwezi zipo akaunti mbili ya 10000 na 22000.
 
KAMA HUWEZ KUNISAIDIA SI UNYAMAZE TU!!!NINA JAZBA AF WE BADALA YA KUNFARIJI UNAGONGELEA MSUMARI
Pole sana dada,
Wajua watu wengine hawajui kwamba wanapoongea na mtoto mzuri kama wewe inabidi lugha iwe laini kidogo!!
 
TV service provider wa shilingi elfu tisa kwa mwezi jamani utamlaumu akikuyeyusha?
 
Tena siku hizi wana promosheni ya kuwashawishi watu walipie kwa mwaka,
Wanataka wakitoka hapo watoke na fungu la kutosha tu!!
 
Mbona jamaa wamesimama powa tu. Matatizo hayakosekani kama ilivyo kwenye mitandao ya simu bana.
 
Jaribu TING wao wanashare satellite moja na Dstv kwa hiyo unaweza wapata popote pale ulipo ndani ya Tanzania gharama yao ni sh 250000 malipo kwa mwezi zipo akaunti mbili ya 10000 na 22000.
ahhh! TING ndio inaboa kuliko, TING ya walokole tu!
 
Back
Top Bottom