kulikuwa na mgogoro baina ya wizara ya elimu na wizara inayohusika na ajira. Wizara ya elimu inataka hata wale ambao wana suplimentary waajiriwe ila wale wa ajira wakadai kuwa wataajiri wale waliofaulu masomo yote tu. Hata hivyo wameyamaliza na hata wale wenye sup wataajiriwa ila ndio wa mwisho. Wengine watapaswa kufaulu masomo yote ndio waajiriwe. Mwezi huu mtaingia kazini jipange dogo!
Laiti ungejua kuwa kila mahali, yaani unaambiwa ukingia kwenye wizara hizo hakuna hata karatasi za printing....mkwere kamaliza pesa kwenye uchakachuaji!!!
Laiti ungejua kuwa kila mahali, yaani unaambiwa ukingia kwenye wizara hizo hakuna hata karatasi za printing....mkwere kamaliza pesa kwenye uchakachuaji!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.