TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

me ninaswal 1 .kama hauna mkopo inamaana hela ya kujikimu, stationary na accomodation unajtegemea au? naomba mnijuze!

kijana unataka 7500/= wamepewa wachache tu, nyie wengine subirien mafungu mengine ya bajeti. Teh teh, hii serikali ni sikivu wakuu.

Hali ni mbaya sana, mimi mpaka sasa cjampa taarifa mzazi wangu, sababu huo uwezo hana, na cha ajabu chuo nilichopangiwa kinataka mpk tar. 20sept niwe nimepeleka nusu ya ada kma laki 5, hapo bado hostel lak 3 na nusu, bado el ya matumizi. Kumbuka hizo ela inapaswa nipate ndan ya wiki hiz 4 yaan mwezi mmoja. Na wakat sifa zote ninazo, Haya c masihara.

Mkuu hicho ndo kinatisha zaidi. Watanzania ni masikini mtu anafanyaje aweze kupata hela ndani ya mda mfupi. Masikini mzazi wa kijana wangu alidhani hela ni ndogo akaja na option ya kuuza shamba ambalo kwa kijijini piga ua haliwezi zidi mili 2 ambayo haikidhi hata garama za mwaka mmoja. Nimemshauri asiuze asubiri kwanza labda tutapewa taarifa tena

Hv jamani,haya majina ni pamoja na wale walio-reselect programs.mtujuze wengi jamani tuko dilema.

Mi kuna watu nawashangaa, sekondari f1-4 anasoma filbert bayi, f5-6 anasoma baobab, kote huko ada ni sh mil 2-3 kwa mwaka, anamaliza f6 analilia kupata mkopo.

Mkuu sisi tunaozungumza ndugu zetu hao wamesoma shule za Kayumba

dah! Poleni sana wakuu ambao hamjafanikiwa kupata mkopo,mwenyewe nimeshindwa kujua vigezo walivotumia kutoa mikopo sababu masela wangu kibao pia wamekosa. Ningeomba kueleweshwa je walioko kundi B watapata ile 7500/= ya kila siku?

Jamani haya ndo matokeo ya tume ilyoundwa na Jk ya kupendekeza namna bora ya kutoa mikopo. Mwaka huu wanafunzi wengi tutashindwa kujiunga na vyuo vikuu. Serikali imetutosa na wazazi nia wanayo ila uwezo hawana.......

4m 4 div II shule ALDERSGATE, F6 Div I MWENGE SINGIDA, NIMEOMBA CHUO KWA MIAKA 3 MFULULIZO NIKAPATA ILA HUWA NAKOSA MKOPO NAAMUA KUKAa Kimya LEO NIMECHAGULIWA B.COM IN human Resources mgt UdsM no loan kwa miaka yote nahangaika ila no money. Napiga akili kumkichwa nakosa majibu umri unakwenda cna cha maana nikifanyacho duuh na kila mara ninaomba mkopo kuna nani huko Bodi juu yangu?

dah! Poleni sana wakuu ambao hamjafanikiwa kupata mkopo,mwenyewe nimeshindwa kujua vigezo walivotumia kutoa mikopo sababu masela wangu kibao pia wamekosa. Ningeomba kueleweshwa je walioko kundi B watapata ile 7500/= ya kila siku?

fedha za kujikimu kwa maana ya msosi malazi stationary nk wanafunzi wote wanapata sawa tofauti inakuja kwenye fees tu so asilimia 90 ndo B ikimaanisha asilimia kumi ya ada utalipa mwenyewe na hiyo unaweza ukabana matumizi yako ukalipa sio hadi umbane mzee,unawaangalia na madogo uliowaacha home au vp

4m 4 div II shule ALDERSGATE, F6 Div I MWENGE SINGIDA, NIMEOMBA CHUO KWA MIAKA 3 MFULULIZO NIKAPATA ILA HUWA NAKOSA MKOPO NAAMUA KUKAa Kimya LEO NIMECHAGULIWA B.COM IN human Resources mgt UdsM no loan kwa miaka yote nahangaika ila no money. Napiga akili kumkichwa nakosa majibu umri unakwenda cna cha maana nikifanyacho duuh na kila mara ninaomba mkopo kuna nani huko Bodi juu yangu?

wewe em safiri nenda mwenyewe pale bodi na vyeti vyako original wasikuzingue

fedha za kujikimu kwa maana ya msosi malazi stationary nk wanafunzi wote wanapata sawa tofauti inakuja kwenye fees tu so asilimia 90 ndo B ikimaanisha asilimia kumi ya ada utalipa mwenyewe na hiyo unaweza ukabana matumizi yako ukalipa sio hadi umbane mzee,unawaangalia na madogo uliowaacha home au vp

Shukrani sana mkuu,nimekupata hapo.

Safiri nenda bodi dont sleep on ur ryt shauri zako haisaidii kukaa unalaumu huku nje. I ha d loans prblm mwaka wa kwanza chuoni hela haikuja nilifyt mpk ikaja japo ilichelewa

duuu! hii ndo bongo land kila kitu magumashi jamani mlio huko
jikoni hebu kesho mtie timu bodi ya mikopo mpaka kieleweke wakubwa labda watasikia kilio chetu inauma sana kama tume iliyo teuliwa na mjomba inakuja na ishu mbovu

Mie uncle wangu kapiga two ya kwanza ten points ni orphans totally. nimemsomesha kwa kukopa salary advance, nikakosana na my wife kwa kuwa nilipunguza kumlipia mwanangu ili uncle aje awasaidie wadogo zake. AKACHAGUA UALIMU. cha ajabu amekosa loan aliowazidi shuleni kwake waliopata three na wameomba ualimu wamepata loan 100%. ameniuliza atakuwa mgeni wa nani atapata wapi hela za chuo. Na mimi majukumu yameongezeka, wazazi nao wamezeeka wanahitaji msaada wangu. wanangu nao wanahitaji niwaandalie mazingira mazuri ya maisha. TCU/BODI KUENI WATANZANIA JAMANI.

duh pole jaman, lets wait mayb wataskia kilio chetu

Me nadhan loanboard hawana huruma cz ktk hal y kawaida m2 kuish chuon miez 8 bla mkopo n hal ngumu sn,lkn kw namna 1 au nyngne wameonesha udhaifu fulan kw kusema kpmo cha m2 kuweza kujsomesha n kuangalia shule alyosoma especially private school at kwmb wanalpa ada kubwa wakat huo2 kuna wa2 wanasoma private school kw shda sn na ukiangalia ada yenyewe haizd laki 5 ambayo n tofaut kabsa na ELIMU & pa1 na MAISHA YA VYUO.Heslb cklzen klio cha wanafunz waliokosa loan kw sababu wanafaham wanakoelekea kuwa n kugumu mno.

Back
Top Bottom