TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

mi naona uyatima si ishu kwasasa, la msingi ni kwamba heslb ito hela kama ilivyofanya kwa wengine.
 
&lt;br /&gt;<br /> &lt;br /&gt;<br /> fedha za kujikimu kwa maana ya msosi malazi stationary nk wanafunzi wote wanapata sawa tofauti inakuja kwenye fees tu so asilimia 90 ndo B ikimaanisha asilimia kumi ya ada utalipa mwenyewe na hiyo unaweza ukabana matumizi yako ukalipa sio hadi umbane mzee,unawaangalia na madogo uliowaacha home au vp
<br /> <br / SOURCE OF DATA PLEASE
 
heslb kama wata2huru100 labda kwa wale wa education na sayansi, lkn kwa wale wa NOT PRIORITY bado nna wac wac.
 
Back
Top Bottom