TCU na HESLB: Mkanganyiko huu UNATATUKAJE?

Didia

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
719
258
Wana JF. Nina kijana ambaye alipata division two katika mtihani wa form six na amechaguliwa kusoma uchumi ARDHI university.

Cha kushanganza kijana huyu kakosa mkopo kwa comment ya "NOT A PRIORITY" wakati kozi hiyo hiyo kuna vijana wamepata mikopo. Imenibidi kutafuta matokeo yao kwenye mtandao wengi wao wana division

three. Nilipofanya survey TEKU na UDOM nimekuta kozi hiyo hiyo wanamkopo. Mpaka sasa imechanganikiwa nashindwa nifanye nini kuwasaidia wazazi wa kijana huyu ikizingatiwa hawana uwezo wa kusomesha mtoto chuo kikuu.

Nifanyeje? NAOMBA USHAULI TAFAHARI
 
Wakuu mi pia yamenikuta hayo, nimepata div. Two, na mzaz mmoja wa kiume nilishampoteza ila hawajanipa mkopo,na moja ya sifa kubwa n kufaulu nyengine n yatima,yaan nawaza maisha yatakuaje na home hatuna uwezo.
 
Teku wana tabia kuongeza kitu education mwanzo ili wanafunzi wao wapate mikopo. Kama sociology utakuta wameamua iwe Bachelor of Education in Sociology, Counselling wameita vivyo hivyo n.k.
 
DUUH..!hata mimi dogo yupo kwa wenye without loan,infact dogo kachaguliwa UDSM, B sc. Microbiology....cha kushangaza ni kwamba yeye o-level kasoma Ashira girls na A-level kasoma Loleza girls sasa sijui zaidi ya hapo walitaka nini....lakini ngoja tusubiri mana hatuna uwezo wa fees...lets wait...
 
<br />
<br />
mkuu cjui itakuaje? Hawa wazaz wote wakulima, hayo ma milion watayatolea wapi??!
 
mkuu kweli kabisa ada ya skuli ilikuwa mbinde sasa leo hii dogo kachaguliwa alafu hana loan.alafu sijui vigezo vipi waliangalia mana hata waliochaguliwd MD muhimbili nao wamo kwenye hii list..alafu hawakutoa sababu za wadogo zetu kutopata mkopo..wadogo zetu hata furaha hawana..isseeh inakera hawa Heslb.
 
Mi cjaona umuhimu wa gvt kutoa ruzuku badala ya mkopo kwa baadh ya course, hii itafanya bod ya mikopo lutopata marejesho, nchi yetu masikin inapaswa m2 ukiingia kazin urudishe pesa na wadogo zako wapate pesa km wewe, no matter ni doctor au mwalimu. Et kuna m2 kachaguliwa mineral engineering alafu kakosa mkopo, haya si masihara.
 
DUUH..!hata mimi dogo yupo kwa wenye without loan,infact dogo kachaguliwa UDSM, B sc. Microbiology....cha kushangaza ni kwamba yeye o-level kasoma Ashira girls na A-level kasoma Loleza girls sasa sijui zaidi ya hapo walitaka nini....lakini ngoja tusubiri mana hatuna uwezo wa fees...lets wait...
Hawa jamaa nafikiri hawkujiandaa kabisa!!!! na hii hali wasipozingia italeta taabu sana siku za mbelen vyuoni!! TUNAWEZA AMINI MOJA YA THREAD HUMU JAMVINI ILIYOO KUWA INADAI KUWA WEB SITE YAO I.E TCU ILIKUWA HACKED NA MATOKEO YAKACHAKACHULIWA!!!!
 
nikiwa kama mwanzilishi wa hiyo thread hata mimi NIMEAMINI HAWA JAMAA HAWAKUJIPANGA AU WALIKUWA HACKED WAKAFOJI TU.
 
Hali ni mbaya sana, mimi mpaka sasa cjampa taarifa mzazi wangu, sababu huo uwezo hana, na cha ajabu chuo nilichopangiwa kinataka mpk tar. 20sept niwe nimepeleka nusu ya ada kma laki 5, hapo bado hostel lak 3 na nusu, bado el ya matumizi. Kumbuka hizo ela inapaswa nipate ndan ya wiki hiz 4 yaan mwezi mmoja. Na wakat sifa zote ninazo, Haya c masihara.
 
Duh kwa hali hii tutasoma kweli?

Back
Top Bottom