TCU guideline book 2012/2013: mkopo ni kwa kozi za science tu. Kwa Arts na biashara no loan at all.

Mipango sasa inaanza kutimia, serikali ina mpango wa kujitoa kabisa katika kujihusisha na kuwapa wanafunzi wa elimu ya juu mikopo, nakumbuka alivyokuja Museveni (rais wa UG) alishangazwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwapa wanafunzi wa elimu ya juu mikopo.

Huu ni mwanzo tu ndugu zangu na ifikapo mwaka 2015 kama serikali inayoongoza kwa tiketi ya CCM itaendelea kuwepo madarakani basi ndio itakuwa mwisho wa bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
 
someni sayansii'!,,, sera ya sayansi kupewa kipaumbele imekuwepo tangu mimi sijaanza chuo!,, na nimesoma course ya miaka mitano na nipo mtaani mwaka wa pili sasa!,, sembuse ninyi leo hii!!,,,someni sayansi vijana,, engineering, IT, architecture, microbiology, Chemistry, MD, orthopedix, mbn course kibao za sayansi, hazina hata watu???? Mnakimbilia sociology na political science, y????????

Mkuu taraibu unataka wasome kisha warudi mtaani kama wewe wasote?
 
Suala sio kufuta art, bali serikali imeona uhaba wa wanasayansi. We fikiria, hata kukamuliwa jipu, kukwanguliwa mba/fungus kichwani, kuvimbiwa wagonjwa wanapelekwa india.

Hahahahaha mkuu umenichekesha hapa
 
Mkuu taraibu unataka wasome kisha warudi mtaani kama wewe wasote?

sawa sawa,,, maana walisoma political science wote wana kazi!,,, hakuna wanaosota mtaani!!,, na waliosoma sayansi woote wanasota!!,, endelea kua na fikra mavi!!
 
Jamani hili swala ni kubwa sana zaidi hata ya tunavyolifikiria, haiwezekani watu wakose mikopo na wakati wenyewe juu wanaendelea kufanya fedha zetu kijinga jinga mara posho, alafu kwenye misiba wanagharamikia tena kwa mamilion ya fedha, basi wauze twiga wengine ili wanafunzi wapate mokopo, wauze ile hotel ya mkapa ya south, wauze nyumba ya maige, mafisadi warudishe fedha walizoiba au kutaifishiwa mali ili wanfunzi wapate mikopo, fedha za kwenye chaguzi ndogo wasomeshee watu.
HII SERKALI TUKIICHEKEA KIJINGA JINGA IPO SIKU WATAKUJA WAJE WATUVUE NGUO HADHARANI.
SHTUKENI NYIE HEBU ACHENI KUZUBAA KWANI MTAILALAMIKIA BURE BODI YA MIKOPO KUMBE NAPE NA WENZAKE NDO WANASABABISHA YOTE HAYO.
 
Ila inasikitisha sana pale ambapo umesoma arts labda Hkl na umefaulu halafu mzazi hana uwezo kifedha lakini kozi zote unazoweza kwenda hazina mkopo wowote isitoshe education arts na biashara kama ada ni 1300000 basi unapewa 500000 tu.

Amongst ya factor ilowafanya 'luddities' kwenye movt ya luddism england kwenye industrial rvln washindwe kufika objective yao ni kwamba walishindwa kujua adui gani wanaepaswa kumpiga na badala ya kuwapinga macapitalist wenyewe wakawa wanaharibu indusrial machines ambazo walidhani kuwa hizo ndio zimewafanya waishi maisha magumu kwenye ajira zao.
So hata nyie mtabakia mnaumana na tcu ndani ya chupa kumbe chanzo ni mjinga mwingine kabisa ( CCM na mafisadi yake)
jamni shtukeni nyie hii nchi tuikomboe kwani ryt kama mngewaona vigogo na watoto wao wanavyopiga bata na pesa zetu mngelia.
 
WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni education kwa biashara na arts ni 50% tu inatolewa. Sasa najiuliza je migomo itaisha vyuoni????

Hizo bwembwe tu.. Watu lazma wapate mkopo. Apply
 
Hebu tujaribu reasoning kiasi,Kenya ili upate mkopo inakubidi usubiri kwa miaka miwili,Uganda mkopo sio tu kwa arts bali hata kwa sayansi ni ngumu mno hivyo ni wale masikini tu ndio wanaopata mikopo,wengine ni kujipanga kwenda mbele.Mzazi/mlezi akijua ana mtoto kidato cha 4(kwa Kenya) ama kidato cha 6 kwa (kwa Uganda) basi anaanza maandalizi mapema sana.Ile michango ya harusi na sherehe za birthdays wenzetu wa Kenya wanawekeza kwenye elimu ya watoto wao,hakuna michango ya kijinga kama hapa kwetu ya mtu kupokea kadi nne za michango ya harusi inayotaka kuanzia Tsh. 50,000 kwa kila kadi...imagine mzazi akiweka hizo hela kwenye benki yenye kutoa riba safi.
Suala la serikali kupunguza matumizi ya fedha kwenye elimu si sera ya CCM(Najua wale mliozoea wimbo wa mafisadi mtaguna au kuniita mimi magamba,I'm not one).Kwenye ripoti za benki ya dunia na IMF serikali imeshauriwa ipunguze matumizi ya fedha kwenye elimu ambayo kwa sasa ni karibu asilimia ishirini ya bajeti yetu,hii kwa wale waliosoma uchumi watakubaliana na mimi kuwa it is a right move towards the right direction.
 
yaan m2 anachanganua tu sentence kwa njia ya matawi,halafu 2mpe mkopo?acheni uvivu bana,watu hawatasoma bachelor sasa,nendeni diploma,maana ni cheap,waoneeni huruma wazazi,kweli mzazi ajibane kukusomesha tangu std 1 hadi form six,bado akulipie tena mamilioni chuoni,halafu ukimaliza huna kazi,unaanza kumbwerambwera 2 mjini,huku unajisifia na ka degree kako ka BA kiswahili sijui historia au kakiingereza
 
duh!watu wengne mna roho za ajabu.
 
Hebu tujaribu reasoning kiasi,Kenya ili upate mkopo inakubidi usubiri kwa miaka miwili,Uganda mkopo sio tu kwa arts bali hata kwa sayansi ni ngumu mno hivyo ni wale masikini tu ndio wanaopata mikopo,wengine ni kujipanga kwenda mbele.Mzazi/mlezi akijua ana mtoto kidato cha 4(kwa Kenya) ama kidato cha 6 kwa (kwa Uganda) basi anaanza maandalizi mapema sana.Ile michango ya harusi na sherehe za birthdays wenzetu wa Kenya wanawekeza kwenye elimu ya watoto wao,hakuna michango ya kijinga kama hapa kwetu ya mtu kupokea kadi nne za michango ya harusi inayotaka kuanzia Tsh. 50,000 kwa kila kadi...imagine mzazi akiweka hizo hela kwenye benki yenye kutoa riba safi.
Suala la serikali kupunguza matumizi ya fedha kwenye elimu si sera ya CCM(Najua wale mliozoea wimbo wa mafisadi mtaguna au kuniita mimi magamba,I'm not one).Kwenye ripoti za benki ya dunia na IMF serikali imeshauriwa ipunguze matumizi ya fedha kwenye elimu ambayo kwa sasa ni karibu asilimia ishirini ya bajeti yetu,hii kwa wale waliosoma uchumi watakubaliana na mimi kuwa it is a right move towards the right direction.

tru mwanangu ila wazazi wa kibongo washazoea vibaya
 
Siasa zimeingia kwenye elimu.

Wala hamna siasa hapa...ni uchumi tu hapa,mtu anazaa watoto wanne huku hana uwezo zaidi ya kuwalisha na kuwavisha huku akitegemea serikali itawasomesha.Hii ni nonsense iliyopitwa na wakati,majukumu na matumizi ya binadamu yameongezeka sana.Ndio halisi kwamba serikali haiwezi kulipia kila mwanafunzi.Tuachane na michango ya kijinga ya kuchangia harusi na birthday parties.
 
Back
Top Bottom