TCU guideline book 2012/2013: mkopo ni kwa kozi za science tu. Kwa Arts na biashara no loan at all.

Msolid1990

Senior Member
Apr 2, 2012
144
49
WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni education kwa biashara na arts ni 50% tu inatolewa. Sasa najiuliza je migomo itaisha vyuoni????
 
migomo ya nini? kama umeshafika chuo kusoma kozi uliyoichagua na ambayo tangu mwanzo umeambiwa kuwa kozi hyo haijapewa kipaumbele sidhani kama kuna haja ya kugoma ilhali unafahamu tangu mwanzo kuwa kozi hyo haina mkopo au ni 70% tu ya ada. Cha msingi ni kuwaondoa magamba tu....
 
Ila inasikitisha sana pale ambapo umesoma arts labda Hkl na umefaulu halafu mzazi hana uwezo kifedha lakini kozi zote unazoweza kwenda hazina mkopo wowote isitoshe education arts na biashara kama ada ni 1300000 basi unapewa 500000 tu.
 
Asa ugome ili iweje wkt toka mwanzo ushaambiwa hutapewa mkopo?kikubwa ni mkomae,ili hzo sera za kijinga ziondolewe.
 
someni sayansii'!,,, sera ya sayansi kupewa kipaumbele imekuwepo tangu mimi sijaanza chuo!,, na nimesoma course ya miaka mitano na nipo mtaani mwaka wa pili sasa!,, sembuse ninyi leo hii!!,,,someni sayansi vijana,, engineering, IT, architecture, microbiology, Chemistry, MD, orthopedix, mbn course kibao za sayansi, hazina hata watu???? Mnakimbilia sociology na political science, y????????
 
Ahsante babaa..umesema umesoma kozi ya miaka mitano na ni sayansi lakini upo mtaani!!! Unafanya nn sasa mtaani?

Tatizo likowapi? Huwezi kwenda kusoma mavitu yasiyokuwa na mchango katika uchumi kama kuogelea,mazingaombwe na mashairi halafu upewe mkopo, vilazaaaa!
 
umechuja mawazo yako kabla hayakutoka?
 
WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni education kwa biashara na arts ni 50% tu inatolewa. Sasa najiuliza je migomo itaisha vyuoni????

TUC guide book iko wapi? Let us confirm your statements before making contribution on your post.
 
ishu ya kipaumbele kwny mkopo ni ya msingi, sio kupinga kila kitu. Serikali inajua tuna mapungufu kwenye sector gani, someni sayansi vijana.
 
WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni education
Unajua ulichokiandika?
kwa biashara na arts ni 50% tu inatolewa. Sasa najiuliza je migomo itaisha vyuoni????
Na hiyo 50% imetokea wapi wakati umesema kwa arts na biashara hamna mkopo at all??
 
...kadri sku znavyoenda wanaosoma art wanazdi kubanwa ktu ambacho knakatsha tamaa sio tu kwa wanafunz bali hata kwa wazaz pia ... kama art ingekuwa nyepes kusingekuwa na zero za art..so serikali iliangalie hili swala ....ikishndwa bas masomo ya art yafutwe ili tujue moja serikali haina akili
 
Mdau sera yetu ya elimu hujui inavobadilika kila kukicha
...kadri sku znavyoenda wanaosoma art wanazdi kubanwa ktu ambacho knakatsha tamaa sio tu kwa wanafunz bali hata kwa wazaz pia ... kama art ingekuwa nyepes kusingekuwa na zero za art..so serikali iliangalie hili swala ....ikishndwa bas masomo ya art yafutwe ili tujue moja serikali haina akili
 
Hahahahah,c ndo anakoish?wewe umemuelewa ila unamdhihak,coz ye ameleta dhihaka
Ahsante babaa..umesema umesoma kozi ya miaka mitano na ni sayansi lakini upo mtaani!!! Unafanya nn sasa mtaani?
 
...kadri sku znavyoenda wanaosoma art wanazdi kubanwa ktu ambacho knakatsha tamaa sio tu kwa wanafunz bali hata kwa wazaz pia ... kama art ingekuwa nyepes kusingekuwa na zero za art..so serikali iliangalie hili swala ....ikishndwa bas masomo ya art yafutwe ili tujue moja serikali haina akili

Suala sio kufuta art, bali serikali imeona uhaba wa wanasayansi. We fikiria, hata kukamuliwa jipu, kukwanguliwa mba/fungus kichwani, kuvimbiwa wagonjwa wanapelekwa india.
 
Tatizo likowapi? Huwezi kwenda kusoma mavitu yasiyokuwa na mchango katika uchumi kama kuogelea,mazingaombwe na mashairi halafu upewe mkopo, vilazaaaa!

nashukuruuu ndugu yangu,, sera za serikali zinatoa kipaumbele kwa sayansi,, nashangaa watu wanakua hawaelewi
 
Suala sio kufuta art, bali serikali imeona uhaba wa wanasayansi. We fikiria, hata kukamuliwa jipu, kukwanguliwa mba/fungus kichwani, kuvimbiwa wagonjwa wanapelekwa india.

MKUU HAPO NI. ?????? ZA KutoshA
 
Back
Top Bottom