Habari za muda huu ndugu zangu. Mimi nilimjazia mdogo wangu vyuo kupitia CAS TCU tangu tarehe 27/7/2014 nilimjazia course nne nikaacha moja ili nikipata chuo kingine nije nijaze tena lakini kilichotokea ni kwamba leo nimeingia kwenye akaunti sijakuta hata cozi moja. nikajaza upya ila kinachotokea kwa sasa ni kwamba system inahitaji nijaze cozi nne tu na siyo tano tena. TATIZO NI NINI NAOMBENI MSAADA JAMANI PIA KAMA MNAZIJUA NAMBA ZA SIMU ZA TCU HELP DESK NAOMBENI MNISAIDIE NDUGU ZANGU ILI NIWEZE KUWASILIANA NAO.